Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Kwa nini unaitwa Padri mcharo?
We ni padri wa wapi?
Sasa kwanini usitumie jina la hiyo dini yako ya hakiSio Padri tena kwa sasa.
Nilikua Padri wa dhehebu moja pendwa Parokia ya Itigi Singida.
Baada ya kutambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Kwa nini unafurahia vitendo vya kupiga nyeto??Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.
Hapo singida itigi wanakujua kama padre nan? Ili nikakuuliziePadri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.
Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuka suala la kupelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilisomesha kwa mamilioni ya pesa
Ilikuwaje ukahasi kuchunga kondoo wa bwana?
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Kwanini umeendelea kujiita padri wakati ulishaacha kazi hiyo?
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Hapo singida itigi wanakujua kama padre nan? Ili nikakuulizie
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.
Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuka suala la kupelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilisomesha kwa mamilioni ya pesa
Sio Padri tena kwa sasa.
Nilikua Padri wa dhehebu moja pendwa Parokia ya Itigi Singida.
Baada ya kutambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Ulishawahi kwenda vatican?