Kikao cha dharura cha mashabiki wa WCB

Akirudi kuwa Rajabu wewe unanufaika vip?
Mkuu industry inatakiwa ikue, Harmonize atatoa ajira ngapi na atainua wengine wangapi?
Ushauri ni kumwambia kama anataka kutoka aage vizuri pale pawe ni kama nyumbani ili awe huru kurudi muda wowote au kufanya nao kazi na pia sidhani kama ana dharau hizo unazozikuza wewe
 
Harmonize kibongo bongo anafanbase kubwa Sana kushinda takataka kama rayvan hata diamond anajua hata WCB wanajua Harmonize ndiyo mtaalam wa inspiration songs diamond na mkewe rayvan wakiimba nyege anakuja kuwatuliza mashabiki na Atarudi, Never give up ,na nyimbo nyingine nzuri namshauri aondoke tu hapo WCB maana hicho ni kikundi cha wahuni.
 
Mtoto akikua ni lazima akajitegemee kikubwa aondoke kwa wazazi wake kwa aman
muacheni Kondeboy Harmonize keshakua muachen akajitegemee
sidhani kama we ndugu muandishi kama unaendelea kuishi kwa wazazi wako mpaka sasa
hata Mond kunamaali alipita mpaka kafika hapo alipo angeendelea kubaki sizan kama tungekuwa na wasafi mpaka sasa
Muachen aende tu
 
sorry ndugu mwandishi hv WCB ilikuwa inawaumiza akina nan na kwa kipi haswaa
cjakuelewa hapo tu
 
sorry ndugu mwandishi hv WCB ilikuwa inawaumiza akina nan na kwa kipi haswaa
cjakuelewa hapo tu
 
hahaaaa shabiki wa upande wa pili utawajua tu.
ongelea mziki in reality sio ushabiki afu acha kujidanganya haswa kumfananisha Mond na Harmo ni IST na harier
 
kama harmo ata anguka kimziki kisa ameondoka WCB basi hiyo wcb hawako kusaidia wasanii
ishu ni kwamba usimamizi alioachana nao anaweza kupata mbadala wake
umeondoka kwa wazazi wako umeamua kunitegemea ko kwa lolote litakalo kukuta lawanlawama zisirudi kwa wazazi we c umekuwa
 
Harmonize ana fan base kubwa? We jamaa unaota wewe
 
Hivi kwanini tunajifanya tunaijua WCB kuliko walio ndani ya hiyo timu.Siri ya mtungi aijuae kata tumwache hatuwezi jua kwanini ameamua kuondoka
 

Mashabiki wa aina yako ndo hatuwataki WCB!!

Kwanza nadiriki kusema wewe sio shabiki wa WCB!!!,narudia tena ,wewe sio shabiki wa WCB!!

Kama mmoja wa mameneja (Sallam) ameshazungumza kwenye media na amekiri kabisa anaondoka,LAKINI SI KWA UBAYA...WEWE NI NANI UJE UTUAMINISHE PUMBA ZAKO KAMA IZO?!!

Mmakonde ameondoka WCB kwa amani kabisa,na wala sio kwa ugomvi

Kama ulikua mshabiki wake kweli basi ni ujuha na ujinga kuacha kumsapoti eti kisa tu hayupo WCB

Halafu,mkae mkifahamu kabisa, Lengo la WCB ni kukuza wasanii na wakishakomaa kimziki na kiuchumi basi RUKSA kuondoka ,ili vipaji vingine vipya navyo vipate nafasi ya kusainiwa na kupewa backup ya kusikika!!

Miroho mbaya na michuki yenu ya ajabu ajabu yasiwapeleke peleke na kuwafanya muwaaminishe watu wengine ujinga wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…