Kikao cha dharura cha mashabiki wa WCB

Kama mlivyomwambia mavoko ? Shame on you
 
Nenda facebook huko ndio kwenye wap***z wenzio,**** we
 
Binadamu bwana
Sasa aendelee tu kuwepo kwa diamond wkt anahitaji kujitegemea mwenyewe
Kisa alisaidiwa
Acheni hizo bwana,ina maana watu tungekuwa hatutoki kwenda kutafuta maisha majumbani kwa wazazi au walezi kisa wametulea na kutusaidia
 
Ila hii itamvunja mondi moyo wa kuibua vipaji vya wabongo wengine ikiwa mambo yenyewe ndio huwa hivi
Mbona diamond aliibuliwa na Fiesta ya wakina Ruge mutahaba na aliishia kumkimbia na mpaka ruge alipokuwa kalazwa diamond aliombwa apost tangazo la kuchangisha Pesa za kumtibu ruge , Diamond alikataa hadi ruge kifo kilipomchukua...


Mjini mmekuja lini
 
Hacha chuki..
Kumbuka kuna vijana wengi tumewafundisha kazi na wakawa uthubutu wa kwenda kujitegemea na sasa wana fedha na vyeo na connection kutuzidi.Najivunia sana hilo kwa kuwa mkufunzi mzuri matunda yang yanaonekana ingawa wengine waliondoka bado tunawaitaji na tuko sawa nao tu.
Kuna mengi tunayaona Wasafi mbele ya kamera ni mazuri na ya kujivunia.Lakini kuna mengi yapo nyuma ya kamera hatuyajui.Kweli sawa wasafi wamemsaidia Harmo lakini ni jambo la wakati tu.Kana ilipangwa atatoka na kipaji anacho lazima angetoka.So sio msaada wa Diamond tu na juhudi zake pia.Kama sio juhudi na kipaji basi ungekuta queen dalin ndio yuko juu na anafanya colabo za kimataifa.Think...kuna watu pale wasafi hawana madhara na hawawez toka(lavalava,queen dalin...)Lakin wenye vipaji vyao hawawezi kukaa milele.Lazima wakue na watoke wakajiendeleze na wagawe ridhki na kwa wengine.
Harmo sio mtu wa kwanza kutoka wasafi msisahau ilo.Na sio kila anaetofautiana na Nasib means atapotea mazima si kweli rejea bifu la Nasib na omary nyembo.Richard mavoko ni mwanamziki kamili na wote mnajua kipaji chake sio cha kubahatisha.Kutoka pale ni sawa kabisa.Na alipo ndipo alipostahili kuwepo kwa wakati huu.Wachache watadhani kapotea.Lah! ni jambo la wakati tu amini nawaambia.
 
Uchawi wa ujananani ni mbaya sana, bora wa uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…