Kikao cha dharura cha mashabiki wa WCB

Kikao cha dharura cha mashabiki wa WCB

Harmonize kibongo bongo anafanbase kubwa Sana kushinda takataka kama rayvan hata diamond anajua hata WCB wanajua Harmonize ndiyo mtaalam wa inspiration songs diamond na mkewe rayvan wakiimba nyege anakuja kuwatuliza mashabiki na Atarudi, Never give up ,na nyimbo nyingine nzuri namshauri aondoke tu hapo WCB maana hicho ni kikundi cha wahuni.
Kama mlivyomwambia mavoko ? Shame on you
 
Nenda facebook huko ndio kwenye wap***z wenzio,**** we
Wapenzi wa WCB wote tukutane hapa tutete mawili matatu kuhusu huyu bwana mdogo Rajabu (Harmonize).

Binafsi nimesikishwa sana jinsi alivyobadilika, amejaa kiburi ,majivuni na kujiona yeye ndio yeye na yeye ndiye mfalme wa bongo fleva hivyo anataka kujitoa WCB ili apimane ubavu na Diamond Platnums Simbaaaa.

Harmonize anajisahaulisha kwamba anamuiga Diamond Platnums kuimba na hata baadhi ya nyimbo ambazo alipaswa Diamond Platnums kushirikishwa Diamond alikuwa anampa nafasi hiyo Harmonize mfano wimbo wa Inde wa Dully Sykes.

Harmonize amesahau wema wote aliotendewa na Diamond Platnums na timu nzima ya wasafi eti kwa sasa anaona wasafi inambana bana asiweze kutusua kimataifa daah ama kweli maskini akipata matakoo hulia mbwata.

Harmonize huyu huyu ndiye alikuwa akilia dar live mpaka kushindwa kuendelea kuimba pindi alipompandisha Diamond Platnums kuimba wimbo wao wa kwang'aru maana alikuwa anakumbuka jinsi alivyokuwa akidhalilika lakini Diamond Platnums alimshika mkono na kumfanya kuwa mtu maarufu leo hii amesahau yote.

Harmonize anajidanganya anamashabiki wengi jambo ambalo ni ndoto za alinacha, Harmonize hana mashabiki bali anaungwa mkono tu na wapenzi wa WCB maana hana kiwango cha kuimba kabisa.

Kinamchomdanganya zaidi huyu mmakonde ni ile kukutana na viongozi wa nchi mara kwa mara kwa sasa na kuhaidiwa atasaidiwa kimuziki anahisi amemaliza kila kitu hata akitoka wasafi atasaidiwa na viongozi wa nchi, ninasema anajidanganya kwa sababu aangalie wanamuziki wenzake waliomtangulia wameshaenda ikulu mara kibao na kupewa ahadi kedekede lakini kiko wapi?

Hao bongo muvi kila kukicha wanajipendekeza kwa viongozi lakini mbona tasnia yao haiipigi hatua.

Sasa kilichobaki huyu dogo ni kumuonesha kwamba yeye si kitu ,na hata hivyo vigari alovyowanunulia wazazi wake ni juhudi za wasafi, hata huyo Sara anayemtegemea asingempata kama asingekuwa wasafi maana angekuwa hajulikani mpaka leo.

Sasa wapenzi wote wa WCB tumkanyage kanyage huyu jamaa mpaka jina la Harmonize litokomee abaki na jina lake la Rajabu.

Kwa kuanza tunaanza kumu unfollow insta, tuna unsubscribe channel yake , hatusapoti kazi zake halafu tuone waliomdanganya watamsaidia nini.


View attachment 1187405
 
Binadamu bwana
Sasa aendelee tu kuwepo kwa diamond wkt anahitaji kujitegemea mwenyewe
Kisa alisaidiwa
Acheni hizo bwana,ina maana watu tungekuwa hatutoki kwenda kutafuta maisha majumbani kwa wazazi au walezi kisa wametulea na kutusaidia
 
Ila hii itamvunja mondi moyo wa kuibua vipaji vya wabongo wengine ikiwa mambo yenyewe ndio huwa hivi
Mbona diamond aliibuliwa na Fiesta ya wakina Ruge mutahaba na aliishia kumkimbia na mpaka ruge alipokuwa kalazwa diamond aliombwa apost tangazo la kuchangisha Pesa za kumtibu ruge , Diamond alikataa hadi ruge kifo kilipomchukua...


Mjini mmekuja lini
 
Hacha chuki..
Kumbuka kuna vijana wengi tumewafundisha kazi na wakawa uthubutu wa kwenda kujitegemea na sasa wana fedha na vyeo na connection kutuzidi.Najivunia sana hilo kwa kuwa mkufunzi mzuri matunda yang yanaonekana ingawa wengine waliondoka bado tunawaitaji na tuko sawa nao tu.
Kuna mengi tunayaona Wasafi mbele ya kamera ni mazuri na ya kujivunia.Lakini kuna mengi yapo nyuma ya kamera hatuyajui.Kweli sawa wasafi wamemsaidia Harmo lakini ni jambo la wakati tu.Kana ilipangwa atatoka na kipaji anacho lazima angetoka.So sio msaada wa Diamond tu na juhudi zake pia.Kama sio juhudi na kipaji basi ungekuta queen dalin ndio yuko juu na anafanya colabo za kimataifa.Think...kuna watu pale wasafi hawana madhara na hawawez toka(lavalava,queen dalin...)Lakin wenye vipaji vyao hawawezi kukaa milele.Lazima wakue na watoke wakajiendeleze na wagawe ridhki na kwa wengine.
Harmo sio mtu wa kwanza kutoka wasafi msisahau ilo.Na sio kila anaetofautiana na Nasib means atapotea mazima si kweli rejea bifu la Nasib na omary nyembo.Richard mavoko ni mwanamziki kamili na wote mnajua kipaji chake sio cha kubahatisha.Kutoka pale ni sawa kabisa.Na alipo ndipo alipostahili kuwepo kwa wakati huu.Wachache watadhani kapotea.Lah! ni jambo la wakati tu amini nawaambia.
 
Uchawi wa ujananani ni mbaya sana, bora wa uzeeni
 
Back
Top Bottom