kweli inashangaza daddy anataka kuleta timu ya mpira kwenye familia yetu
hivi kwanini mama naye anamkubalia kila mwaka anashika :mimba:
itabidi afunguke na atuambie hapa hapa kwani sisi tunajifahamu
kwa daddy watu8 na mama measkron tuko 8 tu ukimuweka na kaka yetu kipenzi
1 FirstLady
2 sweetlady
3 Passion Lady
4 ladyfurahia
5 Lady doctor
6 charminglady
7 WiseLady
8 Davie S.M
Hao ni watoto wa halaili wa daddy watu8 hivyo kama ana watoto wa nje ya ndoa aseme sasa hivi tumechoka kuletea vitoto home ambavyo hatuvielewi kabisa na tena haivifanani na mama yetu kipenzi measkron, hivyo daddy dadavua hapa la sivyo tutaenda kwenye vyombo vya sheria vinavyohusu haki ya watoto wazawa
charminglady una wasiwasi tu, dady watu8 kasema mimi kitindamimba jamani, wakati nazaliwa ulikuwa masomoni Urusi
Halafu wewe Filipo ripoti aliyonayo Arushaone huna imani nayo au hujaona? ina video kabisa!
HAPANA nakataa kabisa tena kwa capital letter na bold kabisa haiwezekani
kwani sisi hatukumwona mama akiwa na mimba hata kidogo huyo mtoto
atakuwa ni wa nje tu haiwezekani kupata mali za daddy wetu la sivyo]
nashukua usukani mwenyewe kwenda kwenye vyombo vya sheria kabla
haijaja karandinga la :target::target: yaani hatumtambui kabisa tena sana
hatutaki kuwa 9 na wakati twajifahamu kuwa tuko 8 wa mwisho ni sweetlady basi
Wewe hauko kwenye ukoo wetu kabisa labda ni mtoto wa mama mdogo hivyo ukoo haukutambui kabisa sisi tuko 8 na akitoka kaka yetu kipenzi Davie S.M anakuja kinda letu sweetlady hivyo kaa mbali na ukoo wa watu8 wewe hutambuliwi kabisa na sijui umetokea wapi unatu😕😕 hutapata chochote katika ukoo wetu kwani mm ndiye niliyeshika usukani wa mali na haitatoka hata moja nitamgawia kila mtoto wa ukoo wa watu8 anayejulikana ambaye ni daamudamu kabisa sio nyie wa nje msiojulikana hata kwa ndugu zetu wa kwafilombe
Afu Ladymasa wewe sio binti wa kwa mzee watu8 na mkewe measkron kweli?
COPY charminglady sweetlady Lady doctor Passion Lady et al.
dady watu8 kuna ukweli wowote
au shem langu kaamua kutuvuruga tu!!
Lovely daughter Passion Lady msome mama alivyoeleza hapa...
okay dady nimeelewa
nadhani wingi wetu unawamix watu!!
Hahahah...mbona mpo wachache sana...nataka tufyatue wengine mimi na mummy....
dadiiiiiiii?!!!nyie mshazeeka bana
tuachieni wanenu sasa hivi,mpumzishe mamy
apate muda wa kujiweka smat sio kila siku kulea tu!!
Sasa hivi tumekosa mtoto wa kucheza naye hapa nyumbani...tuleteeni basi hata hao wajukuu...
Mummy naomba nikufunge kizazi tafadhali usinionee aibu, ,maana uko unapoelekea utajizalia wajukuu mwenyewe
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++Mwanangu Mie mkatoliki kumbuka hivyo hadi mayai yaishe ila nadhani Ladymasa ndo wa mwisho menopausal symptoms zimeanza hapa ni hot flushes tu!! Chaaaa!
MMMMMhhhhh... Machale kundesa!!!!!!!!!!!!!!!
Wewe hauko kwenye ukoo wetu kabisa labda ni mtoto wa mama mdogo hivyo ukoo haukutambui kabisa sisi tuko 8 na akitoka kaka yetu kipenzi Davie S.M anakuja kinda letu sweetlady hivyo kaa mbali na ukoo wa watu8 wewe hutambuliwi kabisa na sijui umetokea wapi unatu😕😕 hutapata chochote katika ukoo wetu kwani mm ndiye niliyeshika usukani wa mali na haitatoka hata moja nitamgawia kila mtoto wa ukoo wa watu8 anayejulikana ambaye ni daamudamu kabisa sio nyie wa nje msiojulikana hata kwa ndugu zetu wa kwafilombe
Mama yake sio mkaguzi kisheria! Kwahiyo umlete Ladymasa nimkague yasije kumkuta yanayomkuta Lady doctor!
Kwa kuwa mnamkana ndugu yenu Ladymasa tena mbele za watu,sasa vipi kuhusu ile mahari shilingi milioni 100,na zawadi ya shilingi milioni 50 kwa dada zake iliyokuwa iletwe siku ya kikao,hisiletwe?
Weeee nani kasema isiletwe? charminglady na ladyfurahia watakuwa wa kwanza kuipokea!
hatuitaki hiyo mahari apeleke kwa baba yake na maama yake anayemfahamu sisi sio ndugu zake na isitoshe sisi tunamiliki mtandao wa nyuklia hivyo vijisenti vyenu vya samaki peleki hukohukko gezaulole
Naona hapa kinachogombaniwa hapa kama sio ile nyumba ya Masaki basi itakuwa ni ile ya Mbezi!Kwa taarifa yenu huyo Ladymasa hana shida kabisa na kitu chochote kwenye urithi,mambo yake supa!Baba yake na mama yake wamesema ni mwanetu,watoto mnasema sio mdogo wetu!Kwa taarifa yenu hata rafiki wa kike wa baba yenu ni mama yenu pia,au rafiki wa kiume wa mama yenu ni baba yenu.Na mtoto wa baba yenu ni ndugu yenu.
kaa utambue ya kwamba huhusiki kabisa kwenye huu ukoo na tambua kuwa mm nimekuwa kwa daddy tangia utoto hadi ukubwa sasa huko ukerewe unakujua wewe hivyo niko naye daddy mpaka sasa na isitoshe mali zote namiliki mm hadi hati ya ghorofa la kule Pakistan ninayo, hivyo kama utakaa na mm vizuri ujue hautambulia kitu kabisa na kama unaendelea nitawaita wenzangu hapa tudiscuss :argue:
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
charminglady unataka kumkana dada yako hadharani?
COPY; Filipo Ushamkagua Ladymasa au bado bado?
HAPANA nakataa kabisa tena kwa capital letter na bold kabisa haiwezekani
kwani sisi hatukumwona mama akiwa na mimba hata kidogo huyo mtoto
atakuwa ni wa nje tu haiwezekani kupata mali za daddy wetu la sivyo]
nashukua usukani mwenyewe kwenda kwenye vyombo vya sheria kabla
haijaja karandinga la :target::target: yaani hatumtambui kabisa tena sana
hatutaki kuwa 9 na wakati twajifahamu kuwa tuko 8 wa mwisho ni sweetlady basi
kwa taarifa yako wewe dady na mamy waliku-adopt tu kwa huruma ndio maana hata umri wako na wa dada sweetlady unalingana!
unadandia nyuma wenzio wanadandia mbele ya dereva yatakushinda shuttuuuu
Ama kweli,
Na urembo wako wooote na
elimu aliyokupa mzee wako
yoote bado unataka mali ya urisi
mweeee.