Duhh kumbe na wewe ladyfurahia DNA yako kwa watu8 ina mashaka?Unaona sasa mnavyoanza kumuaibisha baba yenu,baba na mama ndo wanaojua yupi ni mtoto wao na yupi sie!Nadhani ukinyamaza kama dada zako wengine itakuwa busara,baba yenu watu8 ameishasema ni mdogo wenu,unapoendelea kumnanga humu JF ni kumkosea heshima!Mbona wewe tu ndo unalalamika?
Wanandugu hii ni chit chat naona kama tunafika mbali eeeeh....
THREAD :closed_2:
wanandugu hii ni chit chat naona kama tunafika mbali eeeeh....
Thread :closed_2:
Unaakili sana!
Wanandugu hii ni chit chat naona kama tunafika mbali
eeeeh....
THREAD :closed_2:
HAPANA nakataa kabisa tena kwa capital letter na bold kabisa haiwezekani
kwani sisi hatukumwona mama akiwa na mimba hata kidogo huyo mtoto
atakuwa ni wa nje tu haiwezekani kupata mali za daddy wetu la sivyo]
nashukua usukani mwenyewe kwenda kwenye vyombo vya sheria kabla
haijaja karandinga la :target::target: yaani hatumtambui kabisa tena sana
hatutaki kuwa 9 na wakati twajifahamu kuwa tuko 8 wa mwisho ni sweetlady basi
jamani ladyfurahia mbona mwanifiungia mlango wakati mi ndio naingia?
Ngoja mama yako akija halafu ayasome haya maneno...kama hajakumwagia radhi sijui utambeba kwa mbeleko ipi leo...
Heeee
Si wengine wameshaolewa,
Au mnataka kumiliki pande zote.
Yaani kwa mume na kwa mke.
tatizo ni wewe daddy ambaye hujatulia wewe kila king'aacho waona ni dhahabu
shauriro vingine ni almasi
mama wala hatanidhuru chochote na wala hataniachia radhi yoyote kwani anajua
uchungu wa kunifyatua mm pale kcmc moshi