sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
KWA HIVYO UNATAKA KUTUGOMBAINISHA NA BABA YETU
NANI AMEKWAMBIA KUWA MM NIMEMSEMA VIBAYA DADDY?
USIDANDIE MAGARI KWA MBELE WENZIO WANADANDIA NYUMA
DADDY watu8 USIMSIKILIZE HUYU ANATAKA KUNIFANYA NICHAPWE
BURE JIONI UKIRUDI TOKA KAZINI KWANI DADDY MM SI MTOTO N
NILIYE HESHIMA KWAKO HAWA WANATAKA KUTULETEA BALAA
JUA NAMPENDA DADDY watu8 NA WALA SIWEZI MSEMA BABA YANGU
VIBAYA, ACHA UCHONGANISHI WEWE
tatizo ni wewe daddy ambaye hujatulia wewe kila king'aacho waona ni dhahabu
shauriro vingine ni almasi
mama wala hatanidhuru chochote na wala hataniachia radhi yoyote kwani anajua
uchungu wa kunifyatua mm pale kcmc moshi
We mtoto weee unaanzaje kumwambia baba yako hajatulia???
Kama una busara ladyfurahia utakaa kimya na Um PM baba yako umuombe radhi,au hayo uliyoandika huyakumbuki?!!Shauri yako dadazako ladydoctor wanaomba baraka kwa wazazi wewe unakimbilia kulumbana na kumwambia baba yako hajatulia,what a shame on you!Ungejua baba yako watu8 alivyo na heshima hapa JF!
HahahaaaShemkwe sijui kama atakuelewa...ujue hiki cheo sisi ndio wa kwanza kukivumbua:A S 11:
samahani sana baba watu8 sikutaka niandike vile ilikuwa ni jokes tu
ila nimeona watu wanafuatillia sana imenibidi niombe msamaha
samahani sana najua nimekuuzi mm kama mtoto wako sipendi niendelee
kukuuzi katika kipindi hicho cha mwisho wa mwaka kwani natambua ukimkosea
baba umemkosea Mungu kwani Mungu alimuweka baba kuwa mungu wa dunia
kwa mtoto wake, hivyo daddy naomba uniwie radhi
NAOMBA NAMI UNIPE BARAKA ZANGU KAMA NDUGU ZANGU ULIVYOWAPA
ILA SI ULINIAMBIA NIKITUNZE ILE HATI YA NYUMBA YA PAKISTANI HEEE!
loooh!!! kumbee, mi ndio maana nikamwambia mommy nimfunge kizazi, hii familia imeshajitosheleza, tukiwa wengi sana mwishoe tutasahauliana bureee.
​ok dady!!Wosia ulishaandikwa na baba zenu wakubwa na wadogo wanaujua...ni mwiko kuutoa mapema
na mimi naomba mniunganishe kwenye familia yenu ntakuwa mtiifu daima
Naam mpwa we kamata fursa halafu twenzetu...
Kama una busara ladyfurahia utakaa kimya na Um PM baba yako umuombe radhi,au hayo uliyoandika huyakumbuki?!!Shauri yako dadazako ladydoctor wanaomba baraka kwa wazazi wewe unakimbilia kulumbana na kumwambia baba yako hajatulia,what a shame on you!Ungejua baba yako watu8 alivyo na heshima hapa JF!
watu8 ina maana kazaa mabinti tu?
Ha ha haaa.
Mamluki sio?
Umeshikwa pabaya.
Nakula sana dona, mtindi, samaki heheh...ndio maana si haba kila kona nina kizygote
Aweke na kengele, wkt wa kula awagongee.Hhhahaahaha hongera itafika kipindi itabidi uwaite majina kwa namba lol..