Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ndio kusema wako mateka?Kambi za MONUSCO na SAMIDRC kwa sasa zipo chini ya uliinzi mkali wa M23, na kuongeza kuwa uhuru wa kutembea kwa sasa haupo tena, huku ulinzi ukikazwa mjini, na msako mkali mjini Goma ukiendelea.
Ni puuzi wa kagame au Umwamba wa Kagame?Bado nauona upuuzi wa Kagame.
Tafsiri tu. Hata mwizi aweza kuwa mwambaNi puuzi wa kagame au Umwamba wa Kagame?
Ndo maana yake. Na jitihada zote za kikomando zilizojalibiwa kuwanasua, ziligonga mwamba.Ndio kusema wako mateka?
Wao na vifaa vyaoNdio kusema wako mateka?
Kama inachapika, na SAMIDRC inafukuzwa na nani sasa? SAMIDRC imetekwa na nani? Silaha zake zipo wapi kwani? Vita vya mtandaoni ndo vipo hivyo,ila ukweli ni huo. Yaani mpaka SADC inaenda kuomba makubaliano na M23, ni kwamba ilikuwa na nguvu?Mbona tunasikia uko Congo kwasasa M23 wanachapika vibayaaa!!!
A stupid comment from a stupid, foolish and idiot personinaonekana hata mkigombana na wake zenu mtamsingizia Kagame , mkiacha ukabila na ujinga akili itarudi