BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
SUKUMA-GANG wanaongoza 3-0 , Gwaji boy kusamehewa tena hata bila kuomba msamaha.Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma.
#ChamaImara
#KaziIendelee
View attachment 1931831
View attachment 1931832
View attachment 1931833
View attachment 1931834
SUKUMA-GANG wanaongoza 3-0 , Gwaji boy kusamehewa tena hata bila kuomba msamaha.
wamechat tu leo asubuhi.Msajili ameshakaa na Sirro tayari?
kazoi iendelee hongera mamaMwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma.
#ChamaImara
#KaziIendelee
View attachment 1931831
View attachment 1931832
View attachment 1931833
View attachment 1931834
sidhani aiseeHakuna msamaha wamempiga chini
Si walikuwa wahudumu wa chai na kufungua milango hapo, huku wakipokea maagizo mapya jinsi ya kushugulikia 'magaidi'.Siro na jeshi lake walikua wap mpaka chama hicho kimekamilisha kikao hcho bila kubughudhiwa??
Sitegemei kuona Jaji Mutungi bado ataendelea kuleta habar zake za kutofanya makongamano na mikutano ya ndani mpaka akutane na Vyama na Sirro, nakat chama kimoja kimekaidi Tayari!
ujinga mtupu, chama kitakachoenda kukaa kitakuwa kimechanganyikiwa.Msajili ameshakaa na Sirro tayari?
Plc ccm na msajili wa vyama mpk kikao kinakamilika hawajachukua hatua hatuelwMwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma.
#ChamaImara
#KaziIendelee
View attachment 1931831
View attachment 1931832
View attachment 1931833
View attachment 1931834