Kikao cha kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa

Kikao cha kamati ya utekelezaji UVCCM Taifa

Shabani Ajaha

Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
78
Reaction score
60
KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohamed Ali Kawaida (MCC) @comrade_kawaida Kuongoza Kikao cha Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa Kitakachofanyika Tarehe 25 Juni, 2023 Makao Makuu ya UVCCM Dodoma.

#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisinaMamaMleziWaWana
IMG-20230626-WA0461.jpg
IMG-20230626-WA0241.jpg
IMG-20230626-WA0337.jpg
IMG-20230626-WA0321.jpg
IMG-20230626-WA0385.jpg
IMG-20230626-WA0369.jpg
 
Mbona wote wana mapua manene? Anyway

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Mbona wote wana mapua manene? Anyway

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi?...
MAPUA MANENE[emoji1787][emoji1787]
 
Huyo Mwenyekiti wa uvccm anatoka Zanzibar? Kama ni Zanzibar basi ataunga mkono uuzwaji wa nchi baada ya kikao
 
KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA

[emoji1001] Juni 25, 2023.
[emoji625]UVCCM HQ Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapindiuzi (UVCCM) Ndg. Rehema Sombi (MNEC) Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) akiwa kwenye Kikao cha Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa kilichofanyika tarehe 25 Juni, 2023 katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM Dodoma.
@rehema_sombi

#UVCCMImetimia
#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWana
Screenshot_20230626-155311.jpg
 
Ni kwlei, wote kwa Pamoja walikwenda kwenye ibada, na walitoka saa 7 mchana
 
S
KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA

[emoji1001] Juni 25, 2023.
[emoji625]UVCCM HQ Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapindiuzi (UVCCM) Ndg. Rehema Sombi (MNEC) Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) akiwa kwenye Kikao cha Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa kilichofanyika tarehe 25 Juni, 2023 katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM Dodoma.
@rehema_sombi

#UVCCMImetimia
#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWanaView attachment 2669404
Sawa,kikao chema
 
Back
Top Bottom