Wacha tuoneLeo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
CCM Imeisha kufa ,kwamba mtu kumkosoa tu Serikali ndo ashukiwa Kama mwewe,Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Atakufa muda siyo mrefu amezoea vya bureBodaboda nayo ni kazi, au?? Kila siku wanahimiza tujiajiri..ajiajiri
Everyday is Saturday........................................😎
Badala ya kujiliza kwa machozi ya kukamua kama ya lijualikali, ingia kwenye mapambano ya kusaka katiba bora/mpya.Ndugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
Tanzania humilikiwa 💯 na mtu mmoja at a time, thanks to legacy ya Nyerere ambayo wazee wa CCM wako tayari kufa kuilinda isibadilishwe. Hakuna cha mihimili, nguzo wala rinta.Ndugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
Labda Watanzania wa Itigi na MsalatoNdugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Ubora gani? Unadhani unavyotetea wale covid 19 kinyume na katiba ndo ubora wake? Mi naamini ni miongoni mwa mambo yaliyonajisi bunge hiliNdugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Magufuli alikuwa akikaa chato,wageni wote wa kitaifa na kimataifa alikuwa anawapokelea chato, au kwakuwa msukuma mwenzenu ndiomaana mlikuwa mnasifia tu kila kitu?! Mara ya mwisho nakumbuka Rais wa Kenya alienda chato akapewa na zawadi ya ndege wale TausiKwanini kikao kifanyike unguja
CCM itaendelea kuwepo Sana tu,chama kimerudi kwa watoto wa mjini na wenye exposureCCM Imeisha kufa ,kwamba mtu kumkosoa tu Serikali ndo ashukiwa Kama mwewe,
Ndugu,Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Hakuna kitu chama GANI, watu wanaishi KWa kufuata upepo, kwamba mwenyekiti wa chama ni malaika ,hatakiwi kosolewa? Hamna chama pale bali unafiki ndo umetawala na kujipendekezaCCM itaendelea kuwepo Sana tu,chama kimerudi kwa watoto wa mjini na wenye exposure
Ndugai ubora wake huo, ulikuwa ni wa kufanya kazi na jiwe tu!!hakuna rais yoyote ambaye anapenda kufuata katiba na hapendi ubabe akaweza kufanya kazi na huyo, na ndio maana awamu hii anajiona kama ametengwa!!Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Siku Pemba ikimezwa na bahari, Zanzibar itageuka kuwa mkoa wa TanganyikaMagufuli alikuwa akikaa chato,wageni wote wa kitaifa na kimataifa alikuwa anawapokelea chato, au kwakuwa msukuma mwenzenu ndiomaana mlikuwa mnasifia tu kila kitu?! Mara ya mwisho nakumbuka Rais wa Kenya alienda chato akapewa na zawadi ya ndege wale Tausi
Mzee Kumbe,Lowassa Je?Ni mwana Mume mmoja tuu Tanzania ndani ya Ccm ambae amewahi kuwa jasiri kuachia nafasi zake za uongozi.
Sii mwingine ni Mzee Ally Hassan Mwinyi. Sioni akitokea mwingine ndani ya Ccm maslahi.
Its true mtu yuko huru kujiuzulu hata kujitoa wakati wowote, ila hili hufanywa na wale wanaosusa, Spika asuse kwa lipi?. Atajiuzulu Uspika tuu.Ndugu,
Cha msingi hapo ni ukweli/uongo wa taarifa hizo, lakini Ndugai na yeyote huko ANAWEZA kujiuzulu na akipenda kuachia mara moja nafasi hizo zote, kwani katiba yenu haimzuii. Kaisome tu vizuri itakusaidia kuachana na mikogo ya watoto.
No thank you. Nina watoto wangu bado wadogo,wanaukoo kibao wananitegemea. Ya nini kurisk maisha yangu kisa katiba?Wana CCM wanataka watawale milele wapo tayari kutoa roho watu wanaotia hatari ugali wao.Kama unabisha muulize Magufuli. Wamemtanguliza kaburini kabla ya wakati wake.Badala ya kujiliza kwa machozi ya kukamua kama ya lijualikali, ingia kwenye mapambano ya kusaka katiba bora/mpya.
Hasa wenye viti wa ccm wengine darasa la saba tu.Yaani n bora upigwe risasi kuliko 'kuchambwa' na baadhi ya watu,
mmh!!No thank you. Nina watoto wangu bado wadogo,wanaukoo kibao wananitegemea. Ya nini kurisk maisha yangu kisa katiba?Wana CCM wanataka watawale milele wapo tayari kutoa roho watu wanaotia hatari ugali wao.Kama unabisha muulize Magufuli. Wamemtanguliza kaburini kabla ya wakati wake.
Kwanza anachelewaAende TU anazingua