Kila aliye sajiliwa na JF ni Mbunge halali wa Jamhuri ya JF
Mwongozo wa spika!!
Mhhhh, sasa mi mgeni si ndio ntakuwa yule Kafumu wa kule Nzega? Kwa kuwa bado sijaapishwa na Mheshimiwa Spika naomba ni-reserve nondo zangu mpaka pale mheshamiwa saaaana spika atakaponiapisha