Sina imani na spika....naomba taratibu za kuwasilisha hoja binafsi!
Sina ina imani na spika, yuko kambi ya Cameroon oops no yuko kambi ya 2015, ila na imani ya naibu wake. Tupige kura ya maoni kumpandisha Naibu awe full spika.
Mbona wote kama wameingia mitini kulikoni, au wameitwa ikulu. Mwenye number ya spika pls.
Designer wa nguo wako wa sasa ni nani? Nimempenda.me nikama pinda ningekuwa nimaamuzi tangu ningemfukuza kazi ocd wa arusha ila nasubiri wema akifika tu arusha nitamjulisha ili atoe maamuzi yake
Mie naomba kwa leo tu niwe J.Ndugai,Mh.jogi kaa chini.....,nasema kaa chini usibishane na kiti,duh!!!!!!
:smash: mi mdogo wake david cameroon!!!! natania
tunawakilisha Jamii forums mimi ninakujibuTunawakilisha kina nani? Km wote tutakuwa wabunge? Nataka kujua tu
Mkuu wa nchi anajitahidi lakini waliochini yake ndio wanaomuangusha kikweli nchi haina Maji safi ,wala Umeme ni aibu nchi kubwa kama hii ya bongo kukosa hizo zana mbili hahahahahahh MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO.mchungaji naongea: serikali ya mkwe.re ni legelege!!
miguu yako nnayo huku utapingaje?hapinga hoja na miguu na mikono
Pamoja na yote uliyosema ndoa ya jinsia moja kwetu haipo Afrika tangu zamani hakuna iweje tuwaruhusu wazungu watupangie machafu yao na utamaduni wao mchafu ? Hatutaki hata hiyo misaada wakae nayo wao wenyewe uchafu wao hao wazungu uwe huko huko kwao hatutaki kuiga ukiga mwisho wake utakufa.Muheshimiwa Spika..
nadhani watu wasichaguliwe jinsi ya kuishi bali kila mmoja aishi jinsi anavyopenda.
Kila binadamu ana njia yake ila kuna wachache wanaodhani njia yao ni bora kuliko
njia ya fulani. Binafsi kama nlivyosema na ninazidi kusema sina shida na mashoga
kabisa. kwani wanachofanya nyumbani mwani hainihusu kabisa. napenda
kumuheshimu kila mtu na kingine sipendi kudharau au kujaji mtu.
Kuhusu ndoa na huo ni uchaguzi wao pia.
haini athiri kwa njia yeyote ile....
Asante muheshimiwa Spika
hahahaaaaaaaaaaaa.... hebu zunguka arumeru mkuu kwa kuingilia ngaramtoni kama unataka kutokea tengeru uone mamboNina muongo mmoja toka nimeanza maisha rasmi mkoani Arusha, lakini sijajua mjini hapa au hata nje ya mji Bange inalimwa wapi!.
Mnaojua tafadhali tuambieni ina nini cha ziada mnapolinganisha na ya sehemu zingine!
Ningeambiwa mirungi a.k.a miraa ningeelewa!
Pamoja na yote uliyosema ndoa ya jinsia moja kwetu haipo Afrika tangu zamani hakuna iweje tuwaruhusu wazungu watupangie machafu yao na utamaduni wao mchafu ? Hatutaki hata hiyo misaada wakae nayo wao wenyewe uchafu wao hao wazungu uwe huko huko kwao hatutaki kuiga ukiga mwisho wake utakufa.
Imeandikwa na nani na kwa mamlaka gani?Imeandikwa...