Spika: Klorokwini
Naibu: Ze boss
M/kiti: Preta
Waziri mkuu: Asprin
m/kiti kamati ya nidhamu: PakaJimmy + INVISIBLE
Wabunge: Kila atakaye ichangia hii thread.
MAADA : Ushoga na ndoa za jinsia moja.
Klorokwini: Haya ndugu wabunge , maada ndoo hii naomba michango yenu. Atakaye leta vurugu namtoa nje sasa ivi.
Asanteni
View attachment 40583
Hukuwepo wakati tunachagua, hata hivyo nafasi yako bado ipo, tunaomba tupendekezee viongozi unaoa wanafaa.
Ashadii = awe Makinda wa JF.
Hapo kwenye red kama umenisemea mh mbunge, lakini kwa kuongezea, kuna mbunge anasema hayo ni maisha binafsi na hivyo kuhararisha ushoga au usagaji haimuhusu, swali je endapo yeye ni mwanamke na ameolewa kwa muda wa kutosha na akijakugundua na kuhakikisha kuwa mmewe ameolewa na mme mwingine atakwepa kuguswa na hilo jambo? ikiwa ni kaka zake pia haitamgusa? Jamani tunaelekea wapi?
Mwongozo wa spika..mh kanigini naomba ufute usemi wakuwa tunajiita wabungeJF inachekesha kweli, eti tunajiita waheshimiwa wabunge!!! Nimecheka sana kwa kweli.
Mwongozo wa spika..mh kanigini naomba ufute usemi wakuwa tunajiita wabunge
mheshimiwa kanigini asante japo tumepunguza muda wa kikao basi turudi kwenye hojaMheshimiwa spika nafuta kauli yangu ya, ''Tunajiita wabunge''. Asante.
Spika: Klorokwini
Naibu: Ze boss
M/kiti: Preta
Waziri mkuu: Asprin
m/kiti kamati ya nidhamu: PakaJimmy + INVISIBLE
Wabunge: Kila atakaye ichangia hii thread.
MAADA : Ushoga na ndoa za jinsia moja.
Klorokwini: Haya ndugu wabunge , maada ndoo hii naomba michango yenu. Atakaye leta vurugu namtoa nje sasa ivi.
Asanteni
View attachment 40583
Mhe mbunge wa....., kama ulicheka basi umejicheka kwa kuwa nililolisema limetolewa mwongozo na mh muanzisha hoja kama nilivolionesha kwenye underlined blue hapo juu.JF inachekesha kweli, eti tunajiita waheshimiwa wabunge!!! Nimecheka sana kwa kweli.
Imeandikwa na nani na kwa mamlaka gani?