Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Mb) wakati wa kikao maalum kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Kikao hicho kiliwasilisha ripoti ya maafa ya Mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali nchini ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha pamoja na maandalizi ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano, Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar 13, Aprili 2024.