Kikao cha NEC Zanzibar: Karume hataki kuongezewa muda!


(1) Samahani sana kama nimekuelewa vibaya ila post zako zimekuwa zinaashiria imani yangu hiyo ya Uzenji.

(2) Nakubaliana nawe kabisa kwa mtazamo huo kuhusu uzembe wa viongozi wetu wa Tanganyika; 100%
 

Na Demokrasia yenye mipaka si demokrasia asilan, unaweza kutafuta jina jingine ukaipa. Hii ni nchi ya wananchi na wala si nchi ya Rais.
 
Wa kuwakemea viongozi wa Zanzibar kwa sasa hayupo. Muhimu ni kuzingatia KATIBA ya JMT tu.
 
Siasa tu! Hakuna kipya kitatokea leo wala kesho.....naambiwa subura kikao cha CC jumapili utasikia...mmmh wapi bwana! leo jumanneeee......JF kijiwe cha kahawa?!
 
Siasa tu! Hakuna kipya kitatokea leo wala kesho.....naambiwa subura kikao cha CC jumapili utasikia...mmmh wapi bwana! leo jumanneeee......JF kijiwe cha kahawa?!
Jaribu kusoma tena tokea ukurasa wa kwanza hadi hapo ulipotuma posti yako. Soma kila posti bila kuruka hata moja, then utapata jibu kama hapa ni kijiwe cha kahawa ama la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…