Kikao cha NEC Zanzibar: Karume hataki kuongezewa muda!

Muungano si ulifanywa na watu 2? Si waweza pia kuvunjwa na watu 2? ama nakosea?

Ulikuwa ni Karume na Nyerere-
Sasa ni Maalim Seif na Karume

si kweli.. ulijadiliwa na mabunge yote mawili na kupitishwa (ratification) na wawakilishi wa Tanganyika na wale wa Zanzibar.
 
When it's said and done will winner will be: Rostam Abdulrasul Aziz. Mark my words.....!!!

Sasa kila kitu Rostam? yaani yeye ana akili kupita wazenj na wabara wote? ama kweli mmekosa cha kusema! naona mko terrified bure kwa huyu ndugu..

Problem ya zenj kuhusu muungano ina historia from day one (karume na nyerere) walipoufanya muungano huu sirisiri..

Nafikiri tunamuogopa sana (over-emphasize) rostam he just a smart business person nothing more

Viongozi wetu wenye dola na umma wanaweza kufanya chochote for the benefit of the country and its citizen
 
Sisi tumeshafahamu jinsi ya kumuondoa huyu King Maker.

Mwezi wa 10 tutapiga kura kuondoa wote wanaowekwa na huyu jamaa.

Tatizo ni lenu nyie Wazenji ambao hamfahamu kuwa Maalimu Seif anapewa pesa na RA na sasa huyu Seif ndiyo anakuwa Kiongozi wa siasa za Zenji. Atakapoanza kudai malipo kwa Maalimu na hiyo CUF yenu, ndipo mtakapoanza kulia na kuomba msaada kwa Wabara.
 
Vizuri kumbe mnaweza kumuondoa sasa kelele zote na kulialia kuhusu RA kila siku za nini..fanyeni haraka asirudi kwenye uongozi

Ha ha eti Maalim anapewa pesa na RA ili apate nini? au ndio ule uzushi usio na ushahidi (hearsay)

Hakuna mzenj anaomba msaada bara kwa lolote siku zote wabara ndio wanan'ang'ania wazenj wabaki kwenye muungano maana vichwa ati...

Unaona mlivyokosa usingizi wiki hii nzima mnahangaika kwenda zenj kuokoa muungano..kwetu hata mkisema kesho hamna muungano unguja napemba kutakuwa na nderemo siku saba..mashetani yameondoka!
 
Mkuu jMushi na wengine,

Unaweza kuwa sawa kwa hali ya sasa. Ila kama kweli huyu jamaa ni Iran na huyu General wanayemsema, kuna haja CIA wakaanza kufuatilia hali ya sasa ya Zanzibar. Kama kweli Waarabu wameanza kuyatoa macho kisiwani hapo na ukichukulia kiulinzi hawa jamaa wa Zanzibar wako weak sana, nje ya Muungano watakuwa ni sehemu ya kufanyia majaribio ya silaha. Itakuwa ni kuonyeshana ubabe kati ya Iran na USA.

Kibaya zaidi ni kuwa kama hali hii itatokea basi ni masikini wa kawaida wataumia wakati huo hawa waamuzi na King Maker watakuwa wameshapanda mapipa na kuja kujificha Tanganyika au Kenya au kurudi kwao Uarabuni/Iran.

Nashindwa kuelewa kulala kwa USA hasa ukichukulia kuwa hawa Iran wanayatolea sana mafuta na Uranium ya Tanzania.

Ingelikuwa vema wananchi wakapewa somo la faida na hasara ya Muungano na baada ya hapo, wote tupige na uamuzi ukiamuliwa na wananchi wa Tanganyika au Zanzibar basi Muungano au UVUNJWE au tuendeleze ila kwa kuufanyia marekebisho makubwa.

Kwasababu huyu jamaa influence yake ni above the political threshold...
Kwa vyovyote vile..He's the King maker,hatma ya Taifa letu iko mikononi mwake,pale atakapopata faida zaidi ndio utakaoukuwa mwelekeo wake hence wa Taifa letu....Kama tukiifanya equation ya potential profit kwa King maker kama hivi; (Deal-Muungano > Deal + Muungano),then go figure..
 
Taifa la wajinga " yaani hatima yenu iko kwa RA" pekee kwahiyo nikisema

Sitta na bunge lake lote wako chini ya RA ni sawa ...
JK na mawaziri wake wako chini ya RA ni sawa...
TISS iko chini ya RA, taifa la wajinga kweli
 
Kwa jinsi huu mjadala unavyoendelea hapa ndo ukweli wenyewe,King Maker is above the frey,kwa vyoyote vile kisiwa pia ni chake sasa,kisiasa anapatana na nyie CUF na CCM pia yeye mwenyewe....Teh teh teh!
 
Mjadala huu ni uzushi (hearsay) wanaosema RA ni national problem wanataka ku-deviate attention kutoka kwenye ofisi zao kwakuwa sijaona mahali RA is responsible to put things in order..wenye madaraka ni Sitta (bungeni), JK (executive) na Mwanasheria mkuu wa serikali ...wameshindwa kazi wanaanza kulia lia RA, this is nonsense politics mixed with emotional biaseness!

RA hana uwezo wowote CUF wala kupatana na kutopatana naye haisaidii chochote katika maamuzi ya CUF na serikali yake...wajinga wa CCM ndio waliompa cheo na ndio rafiki yao...kama anaweza ku-influence wana ccm bara (sitta,JK) na wengine na conclude kwamba Tanganyika taifa la wajinga na walalamikaji tuu....

Midomo mirefu kutaka muungano lakini issue ndogo (one man show) anawasumbua agh!
 
Atapata faida kubwa zaidi kama CUF ikishinda,lakini haina maana kwamba yeye si mwana ccm,kwani ni wana ccm wote wenye kuutaka muungano?Na hao wana ccm wa zenji si wanamakubaliano na nyie pia?ama mna makubaliano na ccm yote kiujumla?
 
Mjadala huu ni uzushi (hearsay) wanaosema RA ni national problem wanataka ku-deviate attention kutoka kwenye ofisi zao kwakuwa sijaona mahali RA is responsible to put things in order..wenye madaraka ni Sitta (bungeni), JK (executive) na Mwanasheria mkuu wa serikali ...wameshindwa kazi wanaanza kulia lia RA, this is nonsense politics mixed with emotional biaseness!

RA hana uwezo wowote CUF wala kupatana na kutopatana naye haisaidii chochote katika maamuzi ya CUF na serikali yake...wajinga wa CCM ndio waliompa cheo na ndio rafiki yao...kama anaweza ku-influence wana ccm bara (sitta,JK) na wengine na conclude kwamba Tanganyika taifa la wajinga na walalamikaji tuu....

Midomo mirefu kutaka muungano lakini issue ndogo (one man show) anawasumbua agh!

Tumain,

Kama una karatasi ya mkataba wa Muungano, basi ichukue itie kwenye maji na uifue na mwisho hayo maji ya karatasi rojorojo yabebe na ukamwage BAHARI YA HINDI.

Mchanga wa Muungano, kachukue nusu uurudishe Zenji.
 
Atapata faida kubwa zaidi kama CUF ikishinda,lakini haina maana kwamba yeye si mwana ccm,kwani ni wana ccm wote wenye kuutaka muungano?Na hao wana ccm wa zenji si wanamakubaliano na nyie pia,ama mna makubaliano na ccm yote kiujumla?

Kivipi atapata faida kubwa zaidi kama CUF itashinda??

Au unatengeneza "Hypothetical" question!

Nyie ndio mnaodanganya watu kwamba RA anauhusiano na CUF ili ku-deviate attention kutoka kwenye chama chenu (CCM)..kama anauhusiano si wamfukuze uanachama?

Acheni blah blah na emotions ku-judge vitu badala ya ku-rational..RA ni biznessman he just smart nothing more...kama amewshinda kibiashara msimsingizie yasiyomhusu!...

kama ni kuwawajibisha muwajibisheni JK na Sitta na wale wanaompa biashara serikalini because wana option ya kutofanya naye kazi bila hata kufanywa kitu mamlaka wanayo ..sic of nonsense.
 
Naona kama tumepishana kidogo.
 
Taifa la wajinga " yaani hatima yenu iko kwa RA" pekee kwahiyo nikisema

Sitta na bunge lake lote wako chini ya RA ni sawa ...
JK na mawaziri wake wako chini ya RA ni sawa...
TISS iko chini ya RA, taifa la wajinga kweli

Ingawa sikubaliani na maoni yako karibu yote kwa vile yamejaa chuki dhidi ya "Watanganyika", ni lazima niseme hapa kuwa comment yako hiyo hapo juu ina nguvu sana, na nimeikubali yote kimantiki ingawa wewe mwenyewe unaweza kuwa uliibandika kwa maana ya kuwatukana "Watangayika."
 
Kichuguu,

Ndiyo maana nasema mwaka huu itabidi kupitisha kampeni za waziwazi za kuwaondoa watu wote waliowekwa na RA.

Mwenyewe ntajitahidi kuwajulisha ndugu na jamaa zangu wote. Sijui ntapata wangapi ila naona tukiungana, basi tutapata wengi.
 
JF mnisamehe
Hivi kichwa cha RA kinahitaji risasi ngapi ili kunusuru roho milioni 42 zitakazoweweseka tena kwa muongo mzima? Wako wapi wale mashujaa wa ukweli watuletee kwenye sinia hiki kichwa?
Naomba tena, JF mnisamehe kwa leo
 
Ingawa sikubaliani na maoni yako karibu yote kwa vile yamejaa chuki dhidi ya "Watanganyika", ni lazima niseme hapa kuwa comment yako hiyo hapo juu ina nguvu sana, na nimeikubali yote kimantiki ingawa wewe mwenyewe unaweza kuwa uliibandika kwa maana ya kuwatukana "Watangayika."

Aliyekwambia mimi mzanzibar nani?

Unaweka nia yangu kuwa ni kuwatukana watanganyika "wewe unasoma vipi nakuja nia za kila bandiko" umekuwa yahaya eh

Mimi naona wa Tanganyika hawajui adui wao kwamba ni viongozi wao walio na mamlaka ya kijeshi, dola, sheria wanahangaika na wafanyabiashara kina RA hii ni missconception! na wasomi wengi humo JF wanasupport emotionally kwasababu zao za upofu, wivu, ujinga, maradhi na chuki damn! wako nje ya root cause of the problem
 
Kichuguu,

Ndiyo maana nasema mwaka huu itabidi kupitisha kampeni za waziwazi za kuwaondoa watu wote waliowekwa na RA.

Mwenyewe ntajitahidi kuwajulisha ndugu na jamaa zangu wote. Sijui ntapata wangapi ila naona tukiungana, basi tutapata wengi.

After election akiwa wapiga chini usije hapa unalia lia kama kawaida yenu blah blah blame games to irrelavant persons badala ya source yenyewe.
 
Kivipi atapata faida kubwa zaidi kama CUF itashinda??

Au unatengeneza "Hypothetical" question!

Nyie ndio mnaodanganya watu kwamba RA anauhusiano na CUF ili ku-deviate attention kutoka kwenye chama chenu (CCM)..kama anauhusiano si wamfukuze uanachama?

Acheni blah blah na emotions ku-judge vitu badala ya ku-rational..RA ni biznessman he just smart nothing more...kama amewshinda kibiashara msimsingizie yasiyomhusu!...

kama ni kuwawajibisha muwajibisheni JK na Sitta na wale wanaompa biashara serikalini because wana option ya kutofanya naye kazi bila hata kufanywa kitu mamlaka wanayo ..sic of nonsense.

Ingawa mara nyingi huwa namuona Tumain mropokaji kumbe sometimes huwa ana make sense nakubaliana na tumain kuwa watanganyika wengi tu wajinga na ujinga wetu umetufanya tuwe vipofu hatuoni tunapokwenda mtu akisema kitu leo bila hata ya kujiuliza tunaanza kushabikia.

Hili la RA kuhusishwa na CUF ni mtu tu humu JF alianza tena kwa jokes isije kuwa RA anahusika na mafuta ndiyo maana ana support muungano uvunjike baada ya hiyo post wengi bila hata ku-connect dots tumeanza kushabikia bila hata kujiuliza how comes.

Kama Tumain anavyosema wajanja wanataka ku deviate attention ya watu toka kwenye matatizo ya CCM kumeguka na yale ya Zanzibar waanze kujadili RA na CUF let us be observants before taking any action

Kama ni hivyo basi tusiwe tunawalaumu watu wa vijijini kuhongwa kofia na kanga na kuamua kupigia CCM bila kufikiria athari zake otherwise I cant see the difference kwa sababu ignorance inaendana na level ya jamii husika hata kwenye level ya maprofesor kuna baadhi ni mbumbumbu wa areas fulani fulani.
 
Ah! JF michosho kweli kweli... badala ya watu kuzungumzia dataz za kuweza kurekebisha mambo, wao wapo kwenye lawama.. tena hazina hata mshiko!
 
Taifa la wajinga " yaani hatima yenu iko kwa RA" pekee kwahiyo nikisema

Sitta na bunge lake lote wako chini ya RA ni sawa ...
JK na mawaziri wake wako chini ya RA ni sawa...
TISS iko chini ya RA, taifa la wajinga kweli
Yote ni kweli kwa sababu CCM iko chini ya 'The King Maker', JK ambaye ndiye top wa yote ila ni chini ya the 'maker' hivyo he is over and above.

Sio kweli kuwa Watanzania wote ni taifa la wajinga, hapana, ni Watanzania tulikuwa tumelala, hivyo wajanja wachache wakanyata wakalamba bingo. Sasa tumeanza kuamka, subiri October utaona Mambo.
 
Back
Top Bottom