Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,956
Kuna siri ambayo imejificha nyuma ya sakata hli za Zenj. Baada ya matokeo ya daftari la wapiga kura kuhakikiwa ktk visiwa hivyo, takwimu zinaonyesha kuwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzania atashindwa ktk kura za Urais na hivyo kufanya yale yote aliyokuwa anayalalamikia siku za nyuma ni uongo. Kwa kufanya hivyo, atakuwa anakiua chama chake kisiasa ktk visiwa hivyo.
Njia pekee aliyoiona ya kumnusuru yeye na chama chake ni kumuongezea kiongozi wa sasa muda wa miaka miwili a mitatu ili wao waweze kuzirudisha kura ktk kipindi hicho. Na hapa mgombea atakayesimamishwa sio Hamad Rashid, bali nia Juma Duni.
lakini kama kweli watu wa Zanzibar walishaambiwa kuwa leo Jpili kuna mkutano wao wa CCM na wakagoma kuja, basi hapo pana picha mbaya sana kwa CCM na hatima ya uongozi wa hii nchi,
That is your take, jaribu kujiuliza kiutu uzima wiki iliyopita kulitakiwa kufanyike kikao cha NEC Dodoma wajumbe wa Zanzibar wakagoma kuja kuwa wana kikao cha wawakilishi si kawaida yao kwanza si wawakilishi wote ambao ni wajumbe wa NEC.
Kikaitishwa kikao cha dharura cha CC-CCM Dar es salaam vile vile wajumbe wa zanzibar wakagoma bila kutoa sababu usiniulize kwa hili sijui kitu ambacho si cha kawaida kikao cha CC kimeahilishwa ghafula, kuona hivyo CCM bara wakamtuma Msekwa kuwafuata Zanzibar kujua kulikoni wewe bado unasema hakuna chochote.
Kwa mtazamo wa kawaida tu hii sinema si ya kawaida kwa CCM na wala tusidharau kwa kusema ni mambo ya kawaida, kama ni kujiridhisha kwa wana CCM ok endeleeni kujiridhisha lakini wenye akili zao wameliona hili na wanajua kuna jambo kubwa linatokea ndani ya CCM.
Mkuu kila mara tunapokaribia uchaguzi sarakasi kama hizi huwa zinachezwa, kali kabisa ni ile iliyochezwa na Salmin lakini at the end of the day alikuja kutoa chozi mwenyewe. My meaning is nothing substantial is going to happen,

Tumeambiwa hali si nzuri kwa jinsi mambo yanavyoenda na mtaalamu wetu mmoja wa haya mambo. Sasa tena sijui kaenda wapi baada ya kutuambia tusubiri for two hours atakuwa tayari na full dataz. Ebu alete ata up to date basi atukizi madukuduku yetu. Lakini wapi kimya.kuna la ziada huko jaman? maana vikao vimeahirishwa.
ila mwaka huu lazima kieleweke zanziba, wakilowanisha huu msimamo, na kuisikiliza bara lazima visiwa vyake vijitenge au la watapigana sana
Mkuu kila mara tunapokaribia uchaguzi sarakasi kama hizi huwa zinachezwa, kali kabisa ni ile iliyochezwa na Salmin lakini at the end of the day alikuja kutoa chozi mwenyewe. My meaning is nothing substantial is going to happen,
- Ninakuja na more dataz soon......stay ...tuned!!
Fmes
Naomba hapa tuache ushabiki usiokuwa na maana kinachotakiwa ni kujadili nini cha kufanya kama sisi taifa la leo,ni ushauri gani unatakiwa kutoa na kama ni wewe ungekuwa kwenye position hiyo ungefanya nini, lakini sio kusema kuna kitu kikubwa kinakuja basi kitaje tukijadili hapa na tukitafutie tiba.Kumbuka watoto wetu na wadogo wetu i mean new generation tunawaandaa vp kukabiliana na haya.mmmh kwa haya yote useme hakuna kitu substantial?aaah wapi kuna kitu kikubwa kinakuja....sio kawaida mbona haya hayakuwa yanatokea wakati wa Mkapa au Mwinyi au Nyerere??
Inaonekana watu wengi bado hatujaielewa nguvu ambayo Zanzibar inakuja nayo safari hii
That is your take, jaribu kujiuliza kiutu uzima wiki iliyopita kulitakiwa kufanyike kikao cha NEC Dodoma wajumbe wa Zanzibar wakagoma kuja kuwa wana kikao cha wawakilishi si kawaida yao kwanza si wawakilishi wote ambao ni wajumbe wa NEC.
Kikaitishwa kikao cha dharura cha CC-CCM Dar es salaam vile vile wajumbe wa zanzibar wakagoma bila kutoa sababu usiniulize kwa hili sijui kitu ambacho si cha kawaida kikao cha CC kimeahilishwa ghafula, kuona hivyo CCM bara wakamtuma Msekwa kuwafuata Zanzibar kujua kulikoni wewe bado unasema hakuna chochote.
Kwa mtazamo wa kawaida tu hii sinema si ya kawaida kwa CCM na wala tusidharau kwa kusema ni mambo ya kawaida, kama ni kujiridhisha kwa wana CCM ok endeleeni kujiridhisha lakini wenye akili zao wameliona hili na wanajua kuna jambo kubwa linatokea ndani ya CCM.
Naomba hapa tuache ushabiki usiokuwa na maana kinachotakiwa ni kujadili nini cha kufanya kama sisi taifa la leo,ni ushauri gani unatakiwa kutoa na kama ni wewe ungekuwa kwenye position hiyo ungefanya nini, lakini sio kusema kuna kitu kikubwa kinakuja basi kitaje tukijadili hapa na tukitafutie tiba.Kumbuka watoto wetu na wadogo wetu i mean new generation tunawaandaa vp kukabiliana na haya.
- All right, the more dataz ni kwamba Muungano uko kwenye life support, wanaomfahamu Karume kwa karibu sana wanadokeza kwamba hataki Muungano, wanasema hivi karibuni katika kikao kimoja cha Jumuiya, aliwakoromea sana Burundi na Rwanda, kwamba kwa nini wanataka kurudia makosa ya baba yake ya kujiingiza kwenye Muungano na mataifa makubwa, na kwamba baba yake alifanya makosa makubwa sana kujiingiza na bara kwa sababu siku zote miungano ya taifa kubwa na dogo, huishia kuumiza taifa dogo.
- The dataz ni kwamba katika moja ya kikao cha siri kati ya Seif na Karume, waliwekana sawa kwamba, wao wawili ndio Zainzibar ya sasa hakuna cha bara wala CCM, Seif alimuambia Karume, "..mimi nina umma na wewe una dola...sasa....wabara wa nini yakhe....!", wanaowafahamu wote wawili kwa karibu sana wanasema kwamba wote wawili wanaunganishwa na one principle ya kutoutaka muungano!
- NEC ya mwisho ilipoitishwa Karume hakuja kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa nje, this time ameamua kuita kikao maalum huki visiwani siku ya kikao cha CC bara, pamoja na kwamba amearifiwa toka last weeek!
- The more dataz ni Kigogo mmoja wa CCM (jina tunatunza), aling'amua mapema kwamba huko visiwani kuna something fishy, akamfahamisha Muungwana na nini cha kufanya, yaani kumuita Karume mara moja Dodoma kwa siri na kumkalia kooni, Muungwana kwa kutotaka kuonekana anafuata fuata ushauri tu wa wengine na sio maamuzi yake mwenyewe, akaukataa ule ushauri na kuamua yeye binafsi kuitisha kikao cha CC na NEC kule Dodoma, Karume akachomoa na kwenda nje kutibiwa!
- Now to make this dataz story interesting, comes the main man the one and only Rostam in the picture!
......stay....tuned....!
Respect.
FMEs!