Kikao cha NEC Zanzibar: Karume hataki kuongezewa muda!

Kikao cha NEC Zanzibar: Karume hataki kuongezewa muda!

LOL....
wapi na wapi na usalama wa Taifa au usalama wa wana siasa, waende pia kule zenji kwenye jamvi letu la Mzalendo.net waone amani iaavyoelekea kuvunjika.

Inasemekana wakishindwa kupata identity za watu watatuma kimeta katika server ya JF isambae katika users identity wote. Hizi habari ni radio mbao tu lakini sina facts zozote naomba waungwana kama wanauhakika watupe
 
Sijui yeye Karume analichukuliaje hili la kujificha kitoto ni bora angekuwa wazi awaeleze wenzake wamuelewe msimamo wake, huku kutoa visingizio itakuwa hivyo mpaka lini? Aina ya viongozi tulionao shida tupu!!

Kama mgogoro ukipelekea machafuko basi wa kulaumiwa ni viongozi na ubinafsi wao,wanaona dili la mafuta likiingia wakati wao hawako madarakani basi watakosa ulaji wao wa mafuta,na ndio maana wanataka kuibadili katiba ili kujiongezea muda wa kutawala.

Just kama ilivyo kwenye madini huku bara,tabaka la mafisadi wa huko Zanzibar litakapotaka kuji establish linaweza kupelekea matokeo ya tofauti kwasababu siasa zao ziko shaped somewhat diferent na za bara na kwa hivyo reaction inaweza isiwe the same....Siasa hizi ni zile ambazo zinaweza kuepelekea kuvunjika kwa muungano...

Kigezo wanachokitumia viongozi hao wa ccm Zanzibar kwa kuuliza kuwa issue ya mafuta inahusikana vipi na muungano ni kituko!

Kwanza wajiulize,je muungano huo si muungano wa watu na ardhi?Ama vipengele vya katiba ya muungano vina exclude baadhi ya maeneo ya nchi?
Tatizo kwa upande mwingine ni kwamba mafuta yao yanaweza kabisa kuangukia mikononi mwa mafisadi kwa misingi ya kimuungano muungano,Zanzibar wakijiengua kuhusiana na rasilimali za mafuta yao,basi usishangazwe sumu hiyo ikasambaa hadi Tanganyika,sehemu zikaanza kujitenga na rasilimali zao dhidi ya kinachoitwa "serikali ya muungano" ambayo inaweza kuumizwa zaidi na sifa kuu iliyonayo ya ufisadi.

However kama tutapata serikali safi isiyokuwa ya mafisadi basi mazungumzo yatafanywa kwa niaba ya wananchi na muafaka kwa manufaa ya wananchi peke ake na si vinginevyo.
 
Baada ya kutambua kuwa mafuta ni yawazanzibari pekeyao bila wabara baadae watajua kuwa kumbe si ya wazanzibari wote bali ni yawapemba kwananma hiyo wataendelea kutengangana.
 
- The more dataz ni kwamba Rostam, amekua mmoja wa wafadhili wakubwa wa CUF since 2000, kupitia kwa kiongozi mmoja wa kwa jina Jusa. Hii investment is about to pay back kwa Rostam, tena big time maana kampuni ya Ughaibuni iliyokuwa inatafuta mafuta tayari imeshaambiwa kufungasha virago, kumpa nafasi Rostam, kuleta kampuni yake itakayosimamia shughuli nzima from now on!

- Rostam again ndiye single handed according to the dataz, aliyempa Karume urais ndani ya CC kule Dodoma behind the scene, na wanaomfahamu kwa karibu wanasema Rostam could careless na Muungano, mbele ya opportunity ya biashara iliyopo hapa mbele yake! According to huyu mjumbe wa kamati maalum aliyenipa dataz ni kwamba kwa maoni yake 85%, muungano umekwisha labda itokee miracles ambayo kwa maneno yake, muungwana hana huo uwezo!

- Lakini pia bado kuna upande wa pili wa the coin huko visiwani yaani wanaotaka Muungano, na wao wamekua wakikutana kwa siri, bado tunajaribu kufuatilia zaidi, na ni kweli Msekwa amepelekwa huko leo asubuhi sana kwa private jet na hivi sasa ninapoandika bado yuko ndani ya hiki kikao cha kamati maalum!

(.....stay...tuned....!..bado tunatafuta yalisemwa ndani ya kikao na nani waliosema.....!)

Respect.

FMEs!

Duh! Siasa mchezo mchezo mchafu sana! Jamaa RA katumia mabilioni ya pesa kumuingiza Kikwete Ikulu. Pamoja na Kikwete kupata nafasi nzuri kabisa ya kumshughulikia huyu jamaa kuhusiana na ufisadi wake wa Richmond/Dowans Kikwete aliogopa kufanya hivyo kwa kujua fadhila za huyu jamaa katika safari yake ya kuelekea Ikulu. Sasa kibao kinageuka kama hii info ina ukweli anayeadhirika sasa ni Kikwete na usanii wake. Kweli mdharau mwiba mguu huota tende.

Baada ya Shibuda kuanza kumfagilia Kikwete nikadhani kwamba uchaguzi huu wa 2010 utakuwa hauna kasheshe zozote za kuitingisha nchi...kumbe nadhani nilikosea. Haya tusubiri tuone nani ataibuka mwamba katika sakata hili, tuombe Mungu kusiwe na umwagaji damu.
 
Hivi Sheik Yahya alikuwa wapi kututabiria haya??? Au utabiri wake ni kuhusu vifo tu???
 
Nimesikia habari nyepesi toka dar eti usalama wa taifa unaanza kutufatilia JF kwa kuchochea vurugu na upotezaji wa amani ni kweli jamani au??? mwenye data atupe Field Marshall hebu ifatilie mkuu

Walishajaribu mara ya kwanza na kuwaweka ndani Viongozi wa ukumbi huu, lakini wakakosa ushahidi wa kuthibitisha hilo lililowafanya wawakamate vijana wale. Sijui kama watakuwa na ushahidi wa kutosha hata safari hii kuonyesha kwamba JF inachochea vurugu nchini ili kuharibu amani iliyokuwepo.
 
Well kuna Brig. Gen Al Adawi, na kuna Rostam... Rostam kwa muda mrefu amekuwa mfadhili wa karibu wa CUF na hasa wa Seif na kundi lake la karibu; vile vile Al-Adawi ambaye ni mfanyabiashara mkubwa na ana maslahi makubwa Zanzibar.

Njia mojawao ya kudiffuse the looming crisis is to concede certain things among them ni hilo la mafuta. Binafsi naamini suala la mafuta ni dogo sana kuliko watu wanavyofikiria. Zanzibar iachiwe itafute na kuendeleza kwa asilimia 100 mafuta yanayopatikana within its territorial waters (kikatiba hili ni almost halipo, lakini for the sake of argument tunawapa hilo). No conditions.

Tukishawapa hilo the next watataka kwa vile Zanzibar ni dola na nchi, iwe na vyombo vyake vya ulinzi na usalama (majeshi).

Tukishakubaliana hilo the next watataka kuwa na fedha yao wenyewe yenye kuonesha historia yao ndefu na tukufu

Tukishakubaliana hilo watataka Zanzibar iwe na Waziri wake wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri wake wa Fedha

Tukishakubaliana hilo ....
 
Duh! Siasa mchezo mchezo mchafu sana! Jamaa RA katumia mabilioni ya pesa kumuingiza Kikwete Ikulu. Pamoja na Kikwete kupata nafasi nzuri kabisa ya kumshughulikia huyu jamaa kuhusiana na ufisadi wake wa Richmond/Dowans Kikwete aliogopa kufanya hivyo kwa kujua fadhila za huyu jamaa katika safari yake ya kuelekea Ikulu. Sasa kibao kinageuka kama hii info ina ukweli anayeadhirika sasa ni Kikwete na usanii wake. Kweli mdharau mwiba mguu huota tende.

Baada ya Shibuda kuanza kumfagilia Kikwete nikadhani kwamba uchaguzi huu wa 2010 utakuwa hauna kasheshe zozote za kuitingisha nchi...kumbe nadhani nilikosea. Haya tusubiri tuone nani ataibuka mwamba katika sakata hili, tuombe Mungu kusiwe na umwagaji damu.

Kwakweli sasa hivi Tanzania kila kitu kinaenda kihovyo hovyo it is like a society of lawless. tuombe mungu everything goes well
 
Kwakweli sasa hivi Tanzania kila kitu kinaenda kihovyo hovyo it is like a society of lawless. tuombe mungu everything goes well

Mkuu Mdondoaji huo ndiyo ukweli kuhusiana na nchi yetu. Inapofikia mahali Waziri Mkuu akiwa pamoja na Mwanasheria Mkuu wa nchi na Kamanda Mkuu anapotoa kauli kwamba "mafisadi wa EPA" ni matajiri wakubwa sana nchini na kama wakikamatwa basi nchi itawaka moto. Basi kauli hiyo inaonyesha wazi kwamba nchi yetu haina sheria kabisa. Na hadi leo wote bado wanapeta na mabilioni yao.
 
Well kuna Brig. Gen Al Adawi, na kuna Rostam... Rostam kwa muda mrefu amekuwa mfadhili wa karibu wa CUF na hasa wa Seif na kundi lake la karibu; vile vile Al-Adawi ambaye ni mfanyabiashara mkubwa na ana maslahi makubwa Zanzibar.

Njia mojawao ya kudiffuse the looming crisis is to concede certain things among them ni hilo la mafuta. Binafsi naamini suala la mafuta ni dogo sana kuliko watu wanavyofikiria. Zanzibar iachiwe itafute na kuendeleza kwa asilimia 100 mafuta yanayopatikana within its territorial waters (kikatiba hili ni almost halipo, lakini for the sake of argument tunawapa hilo). No conditions.

Tukishawapa hilo the next watataka kwa vile Zanzibar ni dola na nchi, iwe na vyombo vyake vya ulinzi na usalama (majeshi).

Tukishakubaliana hilo the next watataka kuwa na fedha yao wenyewe yenye kuonesha historia yao ndefu na tukufu

Tukishakubaliana hilo watataka Zanzibar iwe na Waziri wake wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri wake wa Fedha

Tukishakubaliana hilo ....

Kwa hiyo the truth hapa ni kamba muungano or no muungano Rostam na genge lake ndo wenye mafuta?
Sasa hiyo connection from ccm to cuf thru RA iko against nani na nani?
 
Mkuu Mdondoaji huo ndiyo ukweli kuhusiana na nchi yetu. Inapofikia mahali Waziri Mkuu akiwa pamoja na Mwanasheria Mkuu wa nchi na Kamanda Mkuu anapotoa kauli kwamba "mafisadi wa EPA" ni matajiri wakubwa sana nchini na kama wakikamatwa basi nchi itawaka moto. Basi kauli hiyo inaonyesha wazi kwamba nchi yetu haina sheria kabisa. Na hadi leo wote bado wanapeta na mabilioni yao.

Rais anatoa kauli haiheshimiwi, maofisini ndio hatari tupu ukitaka huduma ni kuhonga tu. Watu wanakufa hovyo sasa unadhani hawa wenzetu wazanzibari hawayoni haya hivi unajua kaka zanzibar hadi leo ukisahau begi kuna watu bado waungwana wanalipeleka begi lako polisi. Wenzetu kidogo bado wana ule ubinaadamu na uungwana.

Kimsingi mmungu aibariki tanzania tufanye uchaguzi salama tumalize salama waje wazee wengine wale but ndugu zetu na mama zetu waishi salama because when it comes to vita wanaoumia mara nyingi ni maskini mafisadi wanapanda private jets zao na kutimua zao ulaya basi.
 
Kaka mafuta ya znz yapo katika bahari kubwa ya znz na pemba na ukanda wa mombasa na ndio maana kenya wakaomba waongezewa eneo la bahari kubwa ili iwe ndani ya mipaka yao. Sisi tanzania tumelala hadi leo but mafuta ya znz yapo bahari kubwa na reserves zake inasemekana inaweza kuzalisha around 500,000 barrels - 1 million a barrels a day which is a large scale productions si mchezo. Usidhani hii ni ishu ya kitoto mzee watu wanazo data

huwezi ukasema 500,000 to 1m barrels a day kabla hujaanza production. this is wrong.
kabla hujaanza production unatakiwa uwe na estimate barrels ngapi zipo aridhini, ukishakuwa na estimate kuna kitu kinaitwa success rate ya hiyo area au kampuni. siku zote mageologist wanakosea katika kutabiri kuna mafuta kiasi gani
 
Jasusi,

Unakumbuka Nyerere alivyomfanyia Jumbe katika "machafuko ya hali ya hewa" ya ZNZ early eighties?

Jumbe alitaka kuleta uhaini wa kuvunja muungano, Nyerere akacheza deal na Hamadi, sekretari wa Jumbe akachukua makabrasha yote, Jumbe akapewa ultimatum kujiuzulu.

Kikwete hana intellect wala courage ya kufanya kitu kama hicho, ambacho anatakiwa kufanya kama kweli anataka kuunusuru muungano huu.

This is nothing new, Kikwete cannot say that this is unprecedented and that he is in uncharted waters.

Personally, nafikiri ipigwe referrendum na muungano ukishindwa kupata simple majority on both sides uvunjwe.

Ukikumbuka, ndivyo alivyofanyiwa Komandoo Dr. Salimin (Rais na M/Kiti wa CCM Znz) pia na hiyo hiyo CCM lakini wakati huo haikuwa ya Nyerere, na ndivyo kwa Lt. Horace Kolimba (Katibu Mkuuu CCM); ndivyo ilivyokuwa kwa Lowasa E. na kundi lake (Mawaziri wa CCM) na Juzi hapa kwa Sitta (Spika wa CCM). Sijui kwa nini Mkwele hana ujasiri kwa masuala ya huko ng'ambo. Na kwa utawala wake amekuwa akiwaachia wenzake wamfunge paka kengele tu yeye abaki kusema "MAAMUZI YA WANACHAMA/WAHESHIMIWA, sikuwa na jinsi!"
 
Well kuna Brig. Gen Al Adawi, na kuna Rostam... Rostam kwa muda mrefu amekuwa mfadhili wa karibu wa CUF na hasa wa Seif na kundi lake la karibu; vile vile Al-Adawi ambaye ni mfanyabiashara mkubwa na ana maslahi makubwa Zanzibar.

Njia mojawao ya kudiffuse the looming crisis is to concede certain things among them ni hilo la mafuta. Binafsi naamini suala la mafuta ni dogo sana kuliko watu wanavyofikiria. Zanzibar iachiwe itafute na kuendeleza kwa asilimia 100 mafuta yanayopatikana within its territorial waters (kikatiba hili ni almost halipo, lakini for the sake of argument tunawapa hilo). No conditions.

Tukishawapa hilo the next watataka kwa vile Zanzibar ni dola na nchi, iwe na vyombo vyake vya ulinzi na usalama (majeshi).

Tukishakubaliana hilo the next watataka kuwa na fedha yao wenyewe yenye kuonesha historia yao ndefu na tukufu

Tukishakubaliana hilo watataka Zanzibar iwe na Waziri wake wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri wake wa Fedha

Tukishakubaliana hilo ....

Mkjj, kama sikosei Zenj sasa hivi wana bendera yao, wana wimbo wao wa Taifa, juzi juzi waliomba FIFA ili wawe na timu yao katika mashindano mbali mbali yanayoendesha na FIFA lakini AFC wakawaminya, nasikia wako mbioni kutaka wawe na passport yao. Waliyafanya haya huku Viongozi wa Tanzania wakiangalia pembeni bila hata kuguna sasa yanawatokea puani maana baada ya kuyakamilisha hayo ya wimbo wa taifa na bendera bila kusikia mguno toka Bara wamejiona kwamba wana nguvu sana na wanaweza kufanya lolote lile. Sasa badala ya kusubiri miaka chungu nzima ijayo labda wameamua kufanya kweli mwaka huu na kuviondoa Visiwa vyao katika "Muungano" ambao umekuwa na matatizo kwa miaka mingi sasa.
 
huwezi ukasema 500,000 to 1m barrels a day kabla hujaanza production. this is wrong.
kabla hujaanza production unatakiwa uwe na estimate barrels ngapi zipo aridhini, ukishakuwa na estimate kuna kitu kinaitwa success rate ya hiyo area au kampuni. siku zote mageologist wanakosea katika kutabiri kuna mafuta kiasi gani

Sawa sawa tuko pamoja kwa hilo ila swali moja naomba nikuulize kaka unadhani hayo makampuni makubwa yanayotaka kujenga hizo offshore drillings do you think they are willing to multi-million dollar investment kwenye something trivial???

Huyu mtaalam anasema reserves zipo kubwa na zinauwezo huo wa kuzalisha 500,000 to 1 million barrels. Na jamaa anasema kama wakitumia rasilimali zao vizuri znz inaweza the next UAE (as if viongozi wetu waadilifu kihivyo).
 
lol....
Wapi na wapi na usalama wa taifa au usalama wa wana siasa, waende pia kule zenji kwenye jamvi letu la mzalendo.net waone amani iaavyoelekea kuvunjika.

na hii hapa chini ndio mood ya wazanzibar kule mzalendo kuhusu muungano............

nafikiri asilimia kubwa ya wazanzibari hivi sasa wanafahamu kwamba adui wetu mkubwa sio mzanzibari kwa mzanzibari bali ni mtanganyika, sio mapinduzi, usultani, uhuru wa 1963 au upemba na uunguja bali ni utanganyika na baadhi ya vibaraka vyao wanavyovitumia kuiangamiza zanzibar.

.....imefika wakati sasa wa kuleta mada na kujaadili ni vipi zanzibar inaweza kujikwamua kutoka kwa watanganyika na ni vipi tunaweza kufanya ili kuiletea maendelo nchi yetu.
 
- According to the dataz, Jumapili hii kutakua na kikao cha dharura cha CCM. Habari hizi tumezithibitisha toka kwa vigogo mbali mbali wa CC walio katika safari za mbali, ambao wamefahamishwa kuanzia jana kuanza kurudi Mjini kwa ajili ya kikao hiki.

- Bado hatujapata what is the agenda, lakini kuna tetesi nzito sana kwamba kutawaka moto huko ndani, hasa kuhusiana na kusajiliwa kwa chama kipya cha CCJ, ambacho kinaaminika kuwa na waasisi wengi vigogo kutoka CCM.

- Kama kawaida tunafuatilia kwa karibu sana, kujua kinachoendelea sasa na mpaka siku hiyo ya kikao, zikipatikana tutahabarishana hapa hapa uwanja wa JF kumkoma nyani!

Respect.

Field Marshall Es = Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!

TUpe outcomes za kikao basi. Tunasubiri kwa hamu sana
 
Sishangai kuona haya ya Zanazibar mwaka huu wa uchaguzi, nafikiri bado inatafutwa agenda ya kuombea kura na hawa wanasiasa wachovu.

Msitegemee kitu hapa nami nasema NGOMA YA WATOTO HAIKESHI!
 
Watu bana utawafahamu nia zao mbaya!
1. Muungano siyo baba wala mama yake Kikwete ukivunjika utakuwa muda wake umefika wacha uvunjike hakuna uhusiano na utendaji wake wa kazi..mlitaka aamuru watu kuua raia kama nyerere na mkapa walivyofanya to hell ...kwanza muungano wenyewe siri siri upuuzi mtupu

2. Wazanzibar Waachwe kama hataki muungano tutakuta EAC au kwingine...wote mnaotetea na kumlaumu kikwete mna mawazo ya kikoloni koloni...mnang'ang'ania muungano huku mnawadharau wazenj shame on you

3. Muungano siyo sababu ya JK kuchaguliwa, alichaguliwa ahudumie wa Tanzania barabara, shule etc...msitafute scapegoat ya kumlaumu Muungwana..wacha na wazenj wapate amani bana.
 
Back
Top Bottom