LOL....
wapi na wapi na usalama wa Taifa au usalama wa wana siasa, waende pia kule zenji kwenye jamvi letu la Mzalendo.net waone amani iaavyoelekea kuvunjika.
Sijui yeye Karume analichukuliaje hili la kujificha kitoto ni bora angekuwa wazi awaeleze wenzake wamuelewe msimamo wake, huku kutoa visingizio itakuwa hivyo mpaka lini? Aina ya viongozi tulionao shida tupu!!
- The more dataz ni kwamba Rostam, amekua mmoja wa wafadhili wakubwa wa CUF since 2000, kupitia kwa kiongozi mmoja wa kwa jina Jusa. Hii investment is about to pay back kwa Rostam, tena big time maana kampuni ya Ughaibuni iliyokuwa inatafuta mafuta tayari imeshaambiwa kufungasha virago, kumpa nafasi Rostam, kuleta kampuni yake itakayosimamia shughuli nzima from now on!
- Rostam again ndiye single handed according to the dataz, aliyempa Karume urais ndani ya CC kule Dodoma behind the scene, na wanaomfahamu kwa karibu wanasema Rostam could careless na Muungano, mbele ya opportunity ya biashara iliyopo hapa mbele yake! According to huyu mjumbe wa kamati maalum aliyenipa dataz ni kwamba kwa maoni yake 85%, muungano umekwisha labda itokee miracles ambayo kwa maneno yake, muungwana hana huo uwezo!
- Lakini pia bado kuna upande wa pili wa the coin huko visiwani yaani wanaotaka Muungano, na wao wamekua wakikutana kwa siri, bado tunajaribu kufuatilia zaidi, na ni kweli Msekwa amepelekwa huko leo asubuhi sana kwa private jet na hivi sasa ninapoandika bado yuko ndani ya hiki kikao cha kamati maalum!
(.....stay...tuned....!..bado tunatafuta yalisemwa ndani ya kikao na nani waliosema.....!)
Respect.
FMEs!
Nimesikia habari nyepesi toka dar eti usalama wa taifa unaanza kutufatilia JF kwa kuchochea vurugu na upotezaji wa amani ni kweli jamani au??? mwenye data atupe Field Marshall hebu ifatilie mkuu
Duh! Siasa mchezo mchezo mchafu sana! Jamaa RA katumia mabilioni ya pesa kumuingiza Kikwete Ikulu. Pamoja na Kikwete kupata nafasi nzuri kabisa ya kumshughulikia huyu jamaa kuhusiana na ufisadi wake wa Richmond/Dowans Kikwete aliogopa kufanya hivyo kwa kujua fadhila za huyu jamaa katika safari yake ya kuelekea Ikulu. Sasa kibao kinageuka kama hii info ina ukweli anayeadhirika sasa ni Kikwete na usanii wake. Kweli mdharau mwiba mguu huota tende.
Baada ya Shibuda kuanza kumfagilia Kikwete nikadhani kwamba uchaguzi huu wa 2010 utakuwa hauna kasheshe zozote za kuitingisha nchi...kumbe nadhani nilikosea. Haya tusubiri tuone nani ataibuka mwamba katika sakata hili, tuombe Mungu kusiwe na umwagaji damu.
Kwakweli sasa hivi Tanzania kila kitu kinaenda kihovyo hovyo it is like a society of lawless. tuombe mungu everything goes well
Well kuna Brig. Gen Al Adawi, na kuna Rostam... Rostam kwa muda mrefu amekuwa mfadhili wa karibu wa CUF na hasa wa Seif na kundi lake la karibu; vile vile Al-Adawi ambaye ni mfanyabiashara mkubwa na ana maslahi makubwa Zanzibar.
Njia mojawao ya kudiffuse the looming crisis is to concede certain things among them ni hilo la mafuta. Binafsi naamini suala la mafuta ni dogo sana kuliko watu wanavyofikiria. Zanzibar iachiwe itafute na kuendeleza kwa asilimia 100 mafuta yanayopatikana within its territorial waters (kikatiba hili ni almost halipo, lakini for the sake of argument tunawapa hilo). No conditions.
Tukishawapa hilo the next watataka kwa vile Zanzibar ni dola na nchi, iwe na vyombo vyake vya ulinzi na usalama (majeshi).
Tukishakubaliana hilo the next watataka kuwa na fedha yao wenyewe yenye kuonesha historia yao ndefu na tukufu
Tukishakubaliana hilo watataka Zanzibar iwe na Waziri wake wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri wake wa Fedha
Tukishakubaliana hilo ....
Mkuu Mdondoaji huo ndiyo ukweli kuhusiana na nchi yetu. Inapofikia mahali Waziri Mkuu akiwa pamoja na Mwanasheria Mkuu wa nchi na Kamanda Mkuu anapotoa kauli kwamba "mafisadi wa EPA" ni matajiri wakubwa sana nchini na kama wakikamatwa basi nchi itawaka moto. Basi kauli hiyo inaonyesha wazi kwamba nchi yetu haina sheria kabisa. Na hadi leo wote bado wanapeta na mabilioni yao.
Kaka mafuta ya znz yapo katika bahari kubwa ya znz na pemba na ukanda wa mombasa na ndio maana kenya wakaomba waongezewa eneo la bahari kubwa ili iwe ndani ya mipaka yao. Sisi tanzania tumelala hadi leo but mafuta ya znz yapo bahari kubwa na reserves zake inasemekana inaweza kuzalisha around 500,000 barrels - 1 million a barrels a day which is a large scale productions si mchezo. Usidhani hii ni ishu ya kitoto mzee watu wanazo data
Jasusi,
Unakumbuka Nyerere alivyomfanyia Jumbe katika "machafuko ya hali ya hewa" ya ZNZ early eighties?
Jumbe alitaka kuleta uhaini wa kuvunja muungano, Nyerere akacheza deal na Hamadi, sekretari wa Jumbe akachukua makabrasha yote, Jumbe akapewa ultimatum kujiuzulu.
Kikwete hana intellect wala courage ya kufanya kitu kama hicho, ambacho anatakiwa kufanya kama kweli anataka kuunusuru muungano huu.
This is nothing new, Kikwete cannot say that this is unprecedented and that he is in uncharted waters.
Personally, nafikiri ipigwe referrendum na muungano ukishindwa kupata simple majority on both sides uvunjwe.
Well kuna Brig. Gen Al Adawi, na kuna Rostam... Rostam kwa muda mrefu amekuwa mfadhili wa karibu wa CUF na hasa wa Seif na kundi lake la karibu; vile vile Al-Adawi ambaye ni mfanyabiashara mkubwa na ana maslahi makubwa Zanzibar.
Njia mojawao ya kudiffuse the looming crisis is to concede certain things among them ni hilo la mafuta. Binafsi naamini suala la mafuta ni dogo sana kuliko watu wanavyofikiria. Zanzibar iachiwe itafute na kuendeleza kwa asilimia 100 mafuta yanayopatikana within its territorial waters (kikatiba hili ni almost halipo, lakini for the sake of argument tunawapa hilo). No conditions.
Tukishawapa hilo the next watataka kwa vile Zanzibar ni dola na nchi, iwe na vyombo vyake vya ulinzi na usalama (majeshi).
Tukishakubaliana hilo the next watataka kuwa na fedha yao wenyewe yenye kuonesha historia yao ndefu na tukufu
Tukishakubaliana hilo watataka Zanzibar iwe na Waziri wake wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri wake wa Fedha
Tukishakubaliana hilo ....
huwezi ukasema 500,000 to 1m barrels a day kabla hujaanza production. this is wrong.
kabla hujaanza production unatakiwa uwe na estimate barrels ngapi zipo aridhini, ukishakuwa na estimate kuna kitu kinaitwa success rate ya hiyo area au kampuni. siku zote mageologist wanakosea katika kutabiri kuna mafuta kiasi gani
lol....
Wapi na wapi na usalama wa taifa au usalama wa wana siasa, waende pia kule zenji kwenye jamvi letu la mzalendo.net waone amani iaavyoelekea kuvunjika.
nafikiri asilimia kubwa ya wazanzibari hivi sasa wanafahamu kwamba adui wetu mkubwa sio mzanzibari kwa mzanzibari bali ni mtanganyika, sio mapinduzi, usultani, uhuru wa 1963 au upemba na uunguja bali ni utanganyika na baadhi ya vibaraka vyao wanavyovitumia kuiangamiza zanzibar.
.....imefika wakati sasa wa kuleta mada na kujaadili ni vipi zanzibar inaweza kujikwamua kutoka kwa watanganyika na ni vipi tunaweza kufanya ili kuiletea maendelo nchi yetu.
- According to the dataz, Jumapili hii kutakua na kikao cha dharura cha CCM. Habari hizi tumezithibitisha toka kwa vigogo mbali mbali wa CC walio katika safari za mbali, ambao wamefahamishwa kuanzia jana kuanza kurudi Mjini kwa ajili ya kikao hiki.
- Bado hatujapata what is the agenda, lakini kuna tetesi nzito sana kwamba kutawaka moto huko ndani, hasa kuhusiana na kusajiliwa kwa chama kipya cha CCJ, ambacho kinaaminika kuwa na waasisi wengi vigogo kutoka CCM.
- Kama kawaida tunafuatilia kwa karibu sana, kujua kinachoendelea sasa na mpaka siku hiyo ya kikao, zikipatikana tutahabarishana hapa hapa uwanja wa JF kumkoma nyani!
Respect.
Field Marshall Es = Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!