Unai Emery
Member
- Nov 19, 2019
- 79
- 62
KIKAO CHA TAKWIMU NA SIO HISIA, UKISHINDWA IN SHAA ALLAH.
CLATOUS CHAMA ni Mchezaji wa mechi ndogo mmesema sio??
Tukiomba takwimu za CAF kwenye klabu bingwa msimu huu namwona ana mabao manne kwenye orodha ya wafungaji akiwa nafasi ya pili nyuma ya Washambuliaji kama Peter Shalulile wa Mamelodi Sundowns mwenye mabao matano.
Nikichanganua hizi takwimu kwa Afrika Mashariki na kati hakuna Striker yoyote mwenye takwimu hizi kwenye klabu bingwa, bado nikija kwenye ligi ya Viungo hakuna mwenye takwimu kama hizi za Clatous Chama.
Kwenye boat la Peter Shalulile, Hamza Khabba, Bouly Sambou, Cassius Mailula na Mahmoud Kahraba bado namwona pale Clatous Chota Chama na takwimu zake lakini huku wanasema Mchezaji wa mechi ndogo, sio kubwa! Ila hizi ni takwimu za CAF.
More flesh to the bone! Kwenye takwimu za CAF kuhusu WAFUNGAJI BORA WA MUDA WOTE! Namwona Clatous Chota Chama nafasi ya 10 akiwa na mabao 15 akiwa ni moja kati ya Viungo wachache humo na moja ya wachezaji wachache kutoka ukanda wa CECAFA na COSAFA.
Sahau kuhusu Themba Zwane, Mudathir Careca, Jackson Muleka, Ali Maaloul, Mohamed Sherrif, Hossam Hassan ama Anici Badri! Triple C is leading infront of them! Lakini huku tunaambiwa ni Mchezaji wa mechi ndogo.
Nikitazama Premier ya Bongo msimu huu pekee! Chama ana assists 16, ukitazama orodha ya assists kuna timu unachukuwa wachezaji 8 unajumlisha hawafiki alipo, kuna timu unaweza kuzichukua tisa na hazifiki idadi yake.
Lets enjoy the Greatness of the best ever to do it! Ni sahihi kuonesha kuchukia kwenu lakini MATHEMATICALLY, namba zinambeba sana ikiwemo msimu huu unaoishia! Accept he cant perform magic kila siku, he is the best!
Hiyo video ni kielelezo kuwa Chama ni Mchezaji wa mechi ndogo kama mlivyosema na hapo ilikuwa dhidi ya Dar City, asanteni😀 au @kidedeaiddy nae amepewa jezi?😀
THE GOAT FOR A REASON!
🎥Video Credit: azamtvtz
Ameandika JRFARHAN......✍️✍️