Kikao cha usengenyaji

Smartbeing

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
323
Reaction score
425
Kanuni huwa ni moja tu

Ukiondoka kikaoni wenzio wakabaki, wewe ndio utaanza kusengenywa/kujadiliwa na waliobaki.

Salama yako ni kuwa unapoondoka, ondoka na wenzio na kikao kifungwe au EPUKA na EPUSHA vikao hivyo period!!.

Ushauri wa bure.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
Inatosha RIP JPM.
 
"Ondoka usemwe"

Karibu kijiweni mkuu ukitaka usisemwe kubali kuwa mkusanya mabenchi
 
Afadhali wakemewe wakikumbatiwa kama yule aliekuwa na gazeti lake kuna siku watakugeuka nyuzi 180⁰, usengenyaji ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…