Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

Baharia Mkali

Member
Joined
Nov 2, 2022
Posts
16
Reaction score
24
Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya..

Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae..

Labda kwa shida maalum kama vocha ambayo anakupigia nayo mwenyewe..

Tumependekeza maboresho kadhaa..

Suala la kukutana ni la wote sio upande mmoja, hivyo kama mwanamke atataka kuonana na wewe, hana budi kutumia nauli yake kukufata..

Wakati wa kuondoka unaweza kumpa hela, lakini SIO LAZIMA.

Kikaoni pia tulizungumza kuhusu hela ya kutolea, na muafaka ukawa..

Kama wanataka hela ya kutolea basi waje nyumbani kuifata hela kamili, Tusiwanufaishe maboss wa Tigopesa na M-pesa tusiowajua.

Wale mabingwa wa jibu la "Kuna hela naisikilizia" wameongezwa katika kamati ya wajumbe waweka adhina..

Kila pesa ya chama chetu, itatunzwa na ubahiri wao,.

Adhabu kali itatolewa kwa wanaume wote ambao, walipotongoza na kukataliwa, wakaendelea kuwa na urafiki na mademu hao..

Kama amekukataa, futa namba na uache mazoea naye..

Sheria ya makosa yasiyosameheka, uhaini na jinai, yametanabaisha yafuatayo.

Kujibu kistaarabu text ya mwanamke anayekutafuta akiwa na shida pekee..

Kutomuazima mwenzio chumba, pale anapotaka kuleta manzi yake..

Kumkandia/ kumuaibisha mwanaume mwenzio, ili upendwe wewe..

Kulalamika, kulialia na kutia huruma inbox pale unapotumiwa text ya kuachwa.

Kumpokea kwa bashasha demu asiyefanana na snapchat yake,

Mwanamke ambaye kwenye picha ni Rihanna, alafu live ni Joash Onyango, imeshauriwa aachwe stand ya daladala..

Upande wa pili..

Wale wadada ambao huwa wanatuambia wapo njiani wanakuja, hivyo kusabababisha sisi tufanye usafi wa kiwango kikubwa..na mwisho wa siku hawatokei, imependekezwa tuwaache mara moja bila kujali urembo wao..

Mjumbe aliyekumbwa na hali hii zaidi ya mara 1 aliuliza kwa jazba, "Kama hawawezi kuja gheto, kwenye harusi atakuja kweli?"

Mengineyo, tumefikia muafaka kuwa kama uwanja ni mkubwa basi sharti ni kuzunguka round moja tu..

Yaliyoorodheshwa yafanyiwe kazi, Majukumu mema wanaume wenzangu[emoji1433]
 
Mwanamke ambaye kwenye picha ni Rihanna, alafu live ni Joash Onyango, imeshauriwa aachwe stand ya daladala
 
nyeto itakuhusu mkuu.....mwanamke wa kileo hana huruma wala upendo kwa mwanaume asiekuwa na chochote kitu
Kama ndo hivyo si bora mtu uende kwenye massage centers au night clubs tu, hapo unajua unatumia pesa yako kihalali, kuliko kuingia kwenye mahusiano ya kiunyonyaji
 
Nilinusurika kubaka kisa mishauo yako. Kaja geto amegoma kutoa mzigo eti sio makubariano yetu
Wamefanya mahusiano ni kama sehemu moja wapo ya kujipatia ridhiki ila tu utofauti wa hawa wanao jifafanya so called wapo ki true love na wale wa red light street ni kwamba hawa wananegotiate na wale wana price tag tu
 
nyeto itakuhusu mkuu.....mwanamke wa kileo hana huruma wala upendo kwa mwanaume asiekuwa na chochote kitu
Ni wapi wajumbe wamesema usiwe na chochote kitu? Ulikua unasinzia wakati wa kikao?

Kwa mamlaka niliyonayo kama katibu muenezi wa chama cha wanaume, nakupa adhabu. Kikao kijacho utakua mpishi. Uhangaike na masufuria wakati wengine tunajidili hoja nzito nzito!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya..

Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae..

Labda kwa shida maalum kama vocha ambayo anakupigia nayo mwenyewe..

Tumependekeza maboresho kadhaa..

Suala la kukutana ni la wote sio upande mmoja, hivyo kama mwanamke atataka kuonana na wewe, hana budi kutumia nauli yake kukufata..

Wakati wa kuondoka unaweza kumpa hela, lakini SIO LAZIMA.

Kikaoni pia tulizungumza kuhusu hela ya kutolea, na muafaka ukawa..

Kama wanataka hela ya kutolea basi waje nyumbani kuifata hela kamili, Tusiwanufaishe maboss wa Tigopesa na M-pesa tusiowajua.

Wale mabingwa wa jibu la "Kuna hela naisikilizia" wameongezwa katika kamati ya wajumbe waweka adhina..

Kila pesa ya chama chetu, itatunzwa na ubahiri wao,.

Adhabu kali itatolewa kwa wanaume wote ambao, walipotongoza na kukataliwa, wakaendelea kuwa na urafiki na mademu hao..

Kama amekukataa, futa namba na uache mazoea naye..

Sheria ya makosa yasiyosameheka, uhaini na jinai, yametanabaisha yafuatayo.

Kujibu kistaarabu text ya mwanamke anayekutafuta akiwa na shida pekee..

Kutomuazima mwenzio chumba, pale anapotaka kuleta manzi yake..

Kumkandia/ kumuaibisha mwanaume mwenzio, ili upendwe wewe..

Kulalamika, kulialia na kutia huruma inbox pale unapotumiwa text ya kuachwa.

Kumpokea kwa bashasha demu asiyefanana na snapchat yake,

Mwanamke ambaye kwenye picha ni Rihanna, alafu live ni Joash Onyango, imeshauriwa aachwe stand ya daladala..

Upande wa pili..

Wale wadada ambao huwa wanatuambia wapo njiani wanakuja, hivyo kusabababisha sisi tufanye usafi wa kiwango kikubwa..na mwisho wa siku hawatokei, imependekezwa tuwaache mara moja bila kujali urembo wao..

Mjumbe aliyekumbwa na hali hii zaidi ya mara 1 aliuliza kwa jazba, "Kama hawawezi kuja gheto, kwenye harusi atakuja kweli?"

Mengineyo, tumefikia muafaka kuwa kama uwanja ni mkubwa basi sharti ni kuzunguka round moja tu..

Yaliyoorodheshwa yafanyiwe kazi, Majukumu mema wanaume wenzangu[emoji1433]

Wale mabingwa wa jibu la "Kuna hela naisikilizia"

Hapo umepotosha, tutao waraka wa kupinga haya maazimio.

Uwakilishwaji haukuwa mzuri kama mara zote.
 
Back
Top Bottom