Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

Narekebisha hapo kwenye kumtumia vocha tulikubaliana vocha unanunua mwenyewe unaweka kwenye simu yako unamnunulia salio mwenyewe na sio kutuma vocha maana kuna kijana mwenzetu alimnunulia vocha demu akatuma namba kumbe yule demu anampatia jamaa wake mwingne
 
Katibu na hapo kwenye kuja kufuata hela ili kukwepa kuwafaidisha wenye mitandao, tulikubaliana hela ikifuatwa sharti game lipigwe kwanza ndipo hela itolewe. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom