Cr wa familia JF-Expert Member Joined Jun 18, 2023 Posts 1,064 Reaction score 1,442 Aug 25, 2023 #21 Narekebisha hapo kwenye kumtumia vocha tulikubaliana vocha unanunua mwenyewe unaweka kwenye simu yako unamnunulia salio mwenyewe na sio kutuma vocha maana kuna kijana mwenzetu alimnunulia vocha demu akatuma namba kumbe yule demu anampatia jamaa wake mwingne
Narekebisha hapo kwenye kumtumia vocha tulikubaliana vocha unanunua mwenyewe unaweka kwenye simu yako unamnunulia salio mwenyewe na sio kutuma vocha maana kuna kijana mwenzetu alimnunulia vocha demu akatuma namba kumbe yule demu anampatia jamaa wake mwingne
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,266 Reaction score 4,057 Aug 26, 2023 #22 Katibu na hapo kwenye kuja kufuata hela ili kukwepa kuwafaidisha wenye mitandao, tulikubaliana hela ikifuatwa sharti game lipigwe kwanza ndipo hela itolewe. Nawasilisha
Katibu na hapo kwenye kuja kufuata hela ili kukwepa kuwafaidisha wenye mitandao, tulikubaliana hela ikifuatwa sharti game lipigwe kwanza ndipo hela itolewe. Nawasilisha
Colecole Senior Member Joined Oct 1, 2021 Posts 144 Reaction score 190 Aug 26, 2023 #23 Mwizukulu mgikuru said: nyeto itakuhusu mkuu.....mwanamke wa kileo hana huruma wala upendo kwa mwanaume asiekuwa na chochote kitu Click to expand... Mwanamke yupi kasema hivyo
Mwizukulu mgikuru said: nyeto itakuhusu mkuu.....mwanamke wa kileo hana huruma wala upendo kwa mwanaume asiekuwa na chochote kitu Click to expand... Mwanamke yupi kasema hivyo