Kikao cha wanaume: Njooni mnipe ushauri

Kwahiyo unataka kuwa unafunua kila sketi? Yaani watu wengine jamani badala ya kumshukuru Mungu uko hivyo unauliza wenzio wanafanyaje kumbe hii dhambi wanaume huwa mnaipenda na mnaifanya kwa makusudi eenh?
 
Ni asili yetu, kuishinda ni mtihani.
Sio sisi tu hata ninyi mnapenda sana hii kitu.
Kuna kipindi huwa naona wanavyopigana vikumbo kwa ajili yetu
 
Kwahiyo unataka kuwa unafunua kila sketi? Yaani watu wengine jamani badala ya kumshukuru Mungu uko hivyo unauliza wenzio wanafanyaje kumbe hii dhambi wanaume huwa mnaipenda na mnaifanya kwa makusudi eenh?
Sio dhambi ni nature yetu
 
Mtoa mada utakuwa una matatizo

Umepoa sana changamka mzee
 
Sio yote unayakuta kwenye maandiko .

we tambua kua sisi ni polygamist in nature hatupendi iwe hivyo tunasononeka sema tutafanyaje sasa na ndo maumbile yalivyo hili mbona liko wazi au unataka ulete ubishi wako tu
Imeandikwa wapi hiyo
 
Oohh sasa mbona wanawake wakifanya mambo ambayo hayapo kwenye maandiko mnakuja juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…