Kikao cha wasanii chakaliwa leo Bongo

Kikao cha wasanii chakaliwa leo Bongo

Kama watashawishika kukataa vituo vya radio na tv kuwalipa kwa mujibu wa maelekezo ya serikali basi kamwe hii sekta ya sanaa ya muziki na filam itabaki hapa ilipo sasa au itarudi hatua kumi nyuma!

Kuweka sheria ya kuwalipa wasanii ni faida kwa Pande zote tatu zinazohusika,
1; Serikali inapata nafasi ya kukata kodi kazi za wasanii kihalali na zile copy feki zitapungua japo kidogo.
2; Wasanii wengi watainuka kimaisha na kiubunifu katika kazi zao manake wasipojipanga na kutoa kazi zinazokubalika hakuna media house itakubali kuingia hasara na hata wale wasanii upcoming nao watakaza msuli kufanya kazi za kukubalika tofauti na sasa kila mtu anajiona anaweza kuimba anapeleka radioni au kwa tv station miziki mibovu inakataliwa ama inapigwa Usiku wa manane maana hazina viwango!
3; Media houses kitakacho wabeba ni Ubunifu wa programs zao na lineups zao za siku maana bila wao kubuni vipindi vinavyoteka hisia za watu WOTE hili Zoe zi kwao linaweza kugoma maana Media house nyingi zinabagua wasikilizaji which sio mbaya sana lakini pia ni mbaya coz' kama ni producer makini na anajua nini thamani ya Audience kubwa (kipindi kubamba Nationaly & Internationally) anaelewa ubaya wa kubagua audience.

Otherwise sio hoja kusema kwamba eti wakikubali vituo viwalipe basi tutabaki kuwasikia wenye uwezo tu hawa upcoming hatutowasikia, wakati huo huo Waziri wa wizara husika atakua wapi wakifanyiwa hivyo? Na wale wenye dhamana ya kuwatetea wasanii (i. e COSOTA) Imefika muda wao wa kuwajibika na kulinda haki za Pande zote zinazohusika kwa u halali! ! Serikali imetoa maelekezo nina imani wao pia watalisimamia hilo vinginevyo Na wasanii time has come kwa wao kuzijua kanuni na sheria zinazoongoza sekta yao ili kuzijua haki zao na wajibu wao katika jamii maana karibia wote wamejisahau sana, sio vioo vya jamii tena ni majanga in the making!

Tusipende kujiweka kana kwamba tunaonewa kwa kila kitu, wasanii wetu wana uwezo mkubwa sana na vipaji hapa nchini vipo vingi mno sio sawa hata kidogo kujiweka biashara Fungu la kukosa kwa kauli za " kheri nipate kidogo kuliko wanibanie kabisa", yani uogope kurefuka kisa kuna warefu wengine!! Hawa watu wanatakiwa waanze kujiheshimu wao, Mungu wao aliewapa kipaji, mashabiki wanaotoa support, vyombo vya habari n.k

Mashabiki na watanzania kwa ujumla tubadilike, hii tabia ya ku settle for less in ya kipuuzi, inazidi Sha umaskini na kuleta maafa!!
 
Haya mambo yakibaki ktk hali yoyote mi naona sawa tu,iwe wanalipwa itakuwa po tu au wasilipwe pia itakuwa poa zaidi kwaajili ya sura mpya.
 
Hivi Gnako ashampata mwizi wa $3000 zake anasema alidondosha kwenye hicho kikao
 
Back
Top Bottom