Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

Naomba Jambo hili lifanikiwe bado nina 1.5 gb na dakika kibao halafu eti kifurushi kinaisha saa 12 jion, sio fair kabisa
Hapo changu ndo kimesha expire. Afu wanasema Nyumbani pamenoga.
 
Bando za Internet hazikamatiki
 
Tuko pamoja tafuta link ya petition tuunge mkono
 
Weka pepa nisaini washakula ten langu hapa wakati sijaunga chochote
 
Mungu akutangulie mkuu tinateseka sana na huu waizi wa hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…