Tanzania ni nchi ambayo imepatikana baada ya Muungano wa nchi mbili tofauti.
Katika Muungano wa nchi mbili haiwezekani kukapatikana muasisi mmoja tu! aidha sijasikia nchi yoyote duniani ikiwa na mababa wawili wa Taifa. Kiufupi tu ni kuwa hili jina/cheo/hadhi ifutwe, ni kosa lilofanyika mwanzo inabidi lirekebishwe sasa.
We unafikiri alipewa wapi.....
Kwa hiyo mnamuita baba wa taifa kwa sababu alikuwa ni rais wa kwanza wa muungano? (sababu ya kuwa muasisi tumeshaona kuwa hai-fit kwake yeye kuitwa baba wa taifa pekee).Ni ukweli usiopingika kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado uliendelea kumpa chart Nyerere! Hivi ni nani alikuwa Rais wa Kwanza wa Muungano, teh teh tehe teh teeeeeeeeheeeeeee!
Kwa hiyo mnamuita baba wa taifa kwa sababu alikuwa ni rais wa kwanza wa muungano? (sababu ya kuwa muasisi tumeshaona kuwa hai-fit kwake yeye kuitwa baba wa taifa pekee).
Tukija kwenye Muungano; huu kiundani haukumpandisha chart bali kiuhakika wenyewe ni kuwa ulimuangusha! kumbuka Muungano wake/wao huu haukushirikisha wananchi!
Pili, alikuwa ni mgombea pekee wa urais hivyo aliwanyima wananchi nafasi ya kumchagua yule wanayemuona kuwa angefaa kuwaongoza.
Kusema kuwa anafaa kuitwa baba wa taifa kwa vile ndiye aliyekuwa rais wa kwanza wa Muungano ni kejeli kwa mamilioni ya Watanzania.
Mbona niliweka maoni yangu wazi tu kuwa hiki cheo kifutwe?Ni kejeli kwako, kwa hiyo ulitaka nani aitwe Baba Wa Taifa? Karume? Nachelea kusema, wivu tu unawasumbua!
Kwa hiyo mnamuita baba wa taifa kwa sababu alikuwa ni rais wa kwanza wa muungano? (sababu ya kuwa muasisi tumeshaona kuwa hai-fit kwake yeye kuitwa baba wa taifa pekee).
Tukija kwenye Muungano; huu kiundani haukumpandisha chart bali kiuhakika wenyewe ni kuwa ulimuangusha! kumbuka Muungano wake/wao huu haukushirikisha wananchi!
Pili, alikuwa ni mgombea pekee wa urais hivyo aliwanyima wananchi nafasi ya kumchagua yule wanayemuona kuwa angefaa kuwaongoza.
Kusema kuwa anafaa kuitwa baba wa taifa kwa vile ndiye aliyekuwa rais wa kwanza wa Muungano ni kejeli kwa mamilioni ya Watanzania.
Mbona niliweka maoni yangu wazi tu kuwa hiki cheo kifutwe?
Sijawahi katika maisha yangu kusikia nchi ikiwa na mababa wa taifa wawili (kutokusikia mimi hakumaanishi kuwa hakuna).
MtamaMchungu akanitanabahisha kuwa inawezekana kwa nchi kuwa na mababa wawili wa taifa:
Father of the Nation is an honorific title given to a man considered the driving force behind the establishment of his country, state or nation. The term founding fathers may be used if more than one person is considered key.
Sasa kama wewe bado unashikilia msimamo wako kuwa nyerere ni baba wa taifa kwa vile ni muasisi wa nchi inayoitwa Tanzania basi ujue kuwa hakuwa muasisi pekee, hivyo utajikuta kuwa una mababa wawili wa taifa.
Naomba kwa mtu anayejua hiki cheo cha baba wa taifa alichopewa nyerere kiliidhinishwa wapi na kwa sheria ipi.Kulikuwa na mjadala wowote wakati huo anapewa hilo jina au alipewa tu kiholela na kienyeji bila ridhaa ya wananchi wake?Je hili jina liko kikatiba au mtu tu alikurupuka na kuidhinisha jina hilo
Jina lipi la thamani linalomfaa Nyerere,ni Baba wa Taifa au mzee wetu Nyerere?
Nadhani kuna haja ya kulipigia kura jina hili kuona uhalali wake kama watanzania wnaridhia Nyerere aitwa Baba wa taifa au la.Pia kwenye mchakato wa katiba mpya ibainishwe waziwazi uwepo wa cheo hicho kuliko linavyotumiwa sasa.
Ukienda mbali zaidi utakuja kukuta hili wazo ni la rais Johnson wa Marekani wa wakati ule!...je uko tayari kumuita rais wa zamani wa Marekani baba yako wa taifa?Hivi unajua ni nani alikuwa na Wazo La Kwanza La Kuanzisha Muungano??? (Ni nano Muasisi wa Muungano????), Bado nakusihi, urudi ukasome Historia, tatizo hujui halafu bado unabisha tuuuu!
Ukienda mbali zaidi utakuja kukuta hili wazo ni la rais Johnson wa Marekani wa wakati ule!...je uko tayari kumuita rais wa zamani wa Marekani baba yako wa taifa?
Tanzania ni nchi ambayo imepatikana baada ya Muungano wa nchi mbili tofauti.
Katika Muungano wa nchi mbili haiwezekani kukapatikana muasisi mmoja tu! aidha sijasikia nchi yoyote duniani ikiwa na mababa wawili wa Taifa.
Kiufupi tu ni kuwa hili jina/cheo/hadhi ifutwe, ni kosa lilofanyika mwanzo inabidi lirekebishwe sasa.
wavaa suruali nusu wana shida kweli wivu umewajaa kama mindevu yao.huyo rafiki yako hajawahi kumwita baba wa Taifa kwa shinikizo lenu na ndio maana amelaanika Nchi immeshinda vurugu kila kona. na bado 2015 akifika salama ashukuru MUNGU.Nilipata kuambiwa ukivuta bangi mara moja effect yake haiishi hadi miaka saba hata kama umeacha.....
Sasa kama umevuta mara nyingi madhara yake ni zaidi ya hapo.
Kwa kusema hivyo simaanishi KichwaMbovu ni victim......naomba apewe majibu!
No wonder JK hajapata sikika akimwita Baba wa Taifa....