Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Hivi baadhi ya waislamu wana matatizo ya akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hii!Na kama ndivyo, je ni Mtanzania gani au ni nani kati ya Karume na Nyerere alikuwa wa kwanza kulipokea na kulifanyia kazi? Jibu unalo, tatizo ubishi ndugu yangu!
Nakugongea like mkuu wangu sanaKama si yeye ungeshauzwa kama madini na gesi
Kikao gani cha serikali na chama walikaa na kuamua kumwita Mwl.Nyerere kuwa aitwe baba wa taifa? Kikao hicho kilifanyika wapi na tarehe ngapi? Tangazo la jina hilo lilitolewa na nani na katika chombo kipi halali cha serikali?
Kuna wakati mbunge mmoja simkumbuki jina alisema"kwakuwa Nyerere anaingia kwenye mchakato wa utakatifu basi heshima ya ubaba wa taifa apewe mh.Mkapa!" akaongeza "kwakuwa utawala wa Mkapa ulikuwa mzuri basi napendekeza bunge liridhie tubadili katiba ili mkapa agombee tena ili aweze kutawala kwa miaka 10 mingine?".
Mytake:
Huu ni mlolongo wa sintofahamu ndani ya Tanzania ambazo zimepaliliwa tangu enzi! Kwani Nyerere alilifanyia nini kanisa katoliki hadi limpe hadhi ya utakatifu wakati yeye mwenyewe alidai ni haramu/dhambi kuchanganya dini na siasa?
Naomba tujadili hoja hii nyeti kwa ueledi nasio matusi na kejeli.
Mpaka hapa tulipofikia sijaona tendo lolote alilolifanya nyerere na kustahiki kuitwa baba wa taifa (pekee) ukiachilia mbali Ukanisa Kanisa unaotaka kui- Christianized nchi nzima.so tafuta tendo Nyerere alilofanya mpk akaitwa Baba
Umetoka kwenye Kikao cha kahawa na kashata nini!Kikao gani cha serikali na chama walikaa na kuamua kumwita Mwl.Nyerere kuwa aitwe baba wa taifa? Kikao hicho kilifanyika wapi na tarehe ngapi? Tangazo la jina hilo lilitolewa na nani na katika chombo kipi halali cha serikali?
Kuna wakati mbunge mmoja simkumbuki jina alisema"kwakuwa Nyerere anaingia kwenye mchakato wa utakatifu basi heshima ya ubaba wa taifa apewe mh.Mkapa!" akaongeza "kwakuwa utawala wa Mkapa ulikuwa mzuri basi napendekeza bunge liridhie tubadili katiba ili mkapa agombee tena ili aweze kutawala kwa miaka 10 mingine?".
Mytake:
Huu ni mlolongo wa sintofahamu ndani ya Tanzania ambazo zimepaliliwa tangu enzi! Kwani Nyerere alilifanyia nini kanisa katoliki hadi limpe hadhi ya utakatifu wakati yeye mwenyewe alidai ni haramu/dhambi kuchanganya dini na siasa?
Naomba tujadili hoja hii nyeti kwa ueledi nasio matusi na kejeli.
Sija wahi sikia swali la kijinga kama hili.
Mwache mzee wa watu apumzike kwa amani. Amelifanyia taifa makuu hata nafasi ya baba wa taifa haitoshi. Kama si yeye ungeshauzwa kama madini na gesi
Kanisani
Haya ni miongoni mwa mambo yasiyo na faida kwa Taifa. Zaidi ni kujadili mawazo ya mijitu iliyojaa wivu na isiyo na maslahi kwa Taifa. Hivi Nyerere kuitwa baba wa Taifa wewe unapata hasara gani na familia yake wanapata faida gani? Na asipoitwa baba wa Taifa utanufaikaje na familia yake itapata hasara gani? Mi naona hapa mleta mada unatuonesha wivu uliokujaa na ubaguzi wa kidini. Bornvilla Unataka wewe ndiyo uwe baba wa Taifa?
Kikao gani cha serikali na chama walikaa na kuamua kumwita Mwl.Nyerere kuwa aitwe baba wa taifa? Kikao hicho kilifanyika wapi na tarehe ngapi? Tangazo la jina hilo lilitolewa na nani na katika chombo kipi halali cha serikali?
Kuna wakati mbunge mmoja simkumbuki jina alisema"kwakuwa Nyerere anaingia kwenye mchakato wa utakatifu basi heshima ya ubaba wa taifa apewe mh.Mkapa!" akaongeza "kwakuwa utawala wa Mkapa ulikuwa mzuri basi napendekeza bunge liridhie tubadili katiba ili mkapa agombee tena ili aweze kutawala kwa miaka 10 mingine?".
Mytake:
Huu ni mlolongo wa sintofahamu ndani ya Tanzania ambazo zimepaliliwa tangu enzi! Kwani Nyerere alilifanyia nini kanisa katoliki hadi limpe hadhi ya utakatifu wakati yeye mwenyewe alidai ni haramu/dhambi kuchanganya dini na siasa?
Naomba tujadili hoja hii nyeti kwa ueledi nasio matusi na kejeli.
Unafahamu kuna tofauti ya kuwa baba wa Taifa na Phd (Dr.)? Unaweza kuniambia Phd yake ilikuwa na GPA ya ngapi? Anyway tuache hayo kwani hizi GPA za kupewa binafsi nazipuuza kwa sababu hazijamfikirisha mhusika wala kumjenga kitafiti. Phd ya kweli itamsaidia mtu kufanya maamuzi sahihi na ya kiutafiti zaidi. Lakini heshima ya kuwa baba wa Taifa haitolewi na Taasisi yoyote ya elimu na ndiyo maana haina nafasi katika maamuzi yanayohusu mustakabali wa Taifa hili. Lakini hoja yangu hasa, ni kujadili Nyerere kuwa baba wa Taifa kutatusaidia kuondoa ufisadi, rushwa, uporaji wa rasilimali za Taifa, udini na mauaji ya raia wasio na hatia yanayofanza na Jeshi la polisi? Kama sivyo sioni sababu ya kujadili hilo.Binafsi nakuona akili yako haitafakari vizuri mkuu! Samahani sikutukani! Hivi unakumbuka Rais Kikwete alipopewa uDr wa heshma kule uturuki na UDOM mlihoji na kupaka matope? Mimi nimehoji kutaka kujua uhalali kwa Nyerere kuitw baba, kwanini asiwe Karume? Kwa Kikwete majopo ya wasomi huko vyuo vikuu ndiovilivyoamua Kikwete awe Dr wa heshma sasa je,ni kikao gani au mkutano gani uliamua kumpa nyerere ubaba wa taifa? Hapa sio suala la wivu.Remember this is home of great thinkers where we dare to talk openly so be patient and realistic to the mater.
Kikao gani kilikaa mama ako akaitwa mama ako?