figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Haina haja hata..Mfukuzeni Mbowe kama mna akili timamu
Mfukuzeni Mbowe kama mna akili timamu
Kila mtu ana mapungufu. Hatuishi na malaika na sio kila kitu unatakiwa kuchukua hatua.. Vingine tuachie muda.. Muda ndo Doctor pekee wa maumivu na muda huongeaMfukuzeni Mbowe kama mna akili timamu
CCM ni taasisi bora , hawavumilii mjinga , nchimbi kaondoshwa akaungane na kanisa ..CCM ni dude kubwaKila mtu ana mapungufu. Hatuishi na malaika na sio kila kitu unatakiwa kuchukua hatua.. Vingine tuachie muda.. Muda ndo Doctor pekee wa maumivu na muda huongea
Sahiii kabisaa.Haina haja hata..