Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Makamu wa Rais kisheria kwa mujibu wa Ibara 37(5) ataapishwa kuwa Rais kwa kipindi kilichobakia ambacho ni takribani miaka minne.
Katiba Ibara 40(4) kinasema, Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea nafasi ya urais mara mbili. Lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais Mara moja tu.
Hivyo mama Samia ataweza kugombea mara moja tu baada ya kuapishwa muhula huu kwa kuwa ni miaka zaidi ya mitatu.