Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Jamani tunaharaka sana tusubiri aapishwe baada ya hapo ana miaka zaidi ya minne ya kufanya kazi! tusiende mbali sana kuna mlima mrefu sana wa kupanda hapaMakamu wa Rais kisheria kwa mujibu wa Ibara 37(5) ataapishwa kuwa Rais kwa kipindi kilichobakia ambacho ni takribani miaka minne.
Katiba Ibara 40(4) kinasema, Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea nafasi ya urais mara mbili. Lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais Mara moja tu.
Hivyo mama Samia ataweza kugombea mara moja tu baada ya kuapishwa muhula huu kwa kuwa ni miaka zaidi ya mitatu.
... hana namna kwa msiba wa rais uliotokea, hana uchaguzi ni lazima awe rais. Kama hautaki urais itabidi aape kisha ajiuzulu hapo hapo japo naona hili kuwa gumu.Kwani mama samia kasema yuko tayari kuwa Raisi wa Tanzania?
Subiri tuomboleze maana yajayo tutayajua
Kwani mama samia kasema yuko tayari kuwa Raisi wa Tanzania?
Subiri tuomboleze maana yajayo tutayajua