Kikatiba, uhaini haumnyimi mtu sifa za kugombea urais wa nchi

lord atkin

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
257
Reaction score
922
Kama atakutwa na hatia ya uhaini na kupewa msamaha wa Rais atakuwa na sifa za kugombea udiwani, ubunge, urais na cheo kingine chochote. Kama lengo ni kumzuia kugombea urais tumnyonge au tumwache aozee jela.

Nimesoma Katiba ya JMT hasa ibara ya 39 inayoeleza sifa za urais. Mambo yanayoweza kumkosesha sifa mtu za kugombea urais ni kukutwa na hatia kwenye makosa ya jinai ya ukwepaji kodi, rushwa na kukosa uaminifu. Hakuna mahali shitaka la uhaini limetajwa.
 
Kwa hiyo na hili nalo litagonga Mwamba?
 
Hapo hakuna kesi kabisa! Uhaini unahusisha overt acts vya kutishia usalama wa nchi au mamlaka ya huyo bibi.
 
Kama atakutwa na hatia ya uhaini na kupewa msamaha wa Rais atakuwa na sifa za kugombea udiwani, ubunge, urais na cheo kingine chochote. Kama lengo ni kumzuia kugombea urais tumnyonge au tumwache aozee jela.

Nimesoma Katiba ya JMT hasa ibara ya 39 inayoeleza sifa za urais. Mambo yanayoweza kumkosesha sifa mtu za kugombea urais ni kukutwa na hatia kwenye makosa ya jinai ya ukwepaji kodi, rushwa na kukosa uaminifu. Hakuna mahali shitaka la uhaini limetajwa.
Kwa hiyo na hili nalo litagonga mwamba
 
ok.🐒
 
Back
Top Bottom