lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 257
- 922
Kwa hiyo na hili nalo litagonga Mwamba?Kama atakutwa na hatia ya uhaini na kupewa msamaha wa Rais atakuwa na sifa za kugombea udiwani, ubunge, urais na cheo kingine chochote. Kama lengo ni kumzuia kugombea urais tumnyonge au tumwache aozee jela.
Nimesoma Katiba ya JMT hasa ibara ya 39 inayoeleza sifa za urais. Mambo yanayoweza kumkosesha sifa mtu za kugombea urais ni kukutwa na hatia kwenye makosa ya jinai ya ukwepaji kodi, rushwa na kukosa uaminifu. Hakuna mahali shitaka la uhaini limetajwa.
Kwa hiyo na hili nalo litagonga mwambaKama atakutwa na hatia ya uhaini na kupewa msamaha wa Rais atakuwa na sifa za kugombea udiwani, ubunge, urais na cheo kingine chochote. Kama lengo ni kumzuia kugombea urais tumnyonge au tumwache aozee jela.
Nimesoma Katiba ya JMT hasa ibara ya 39 inayoeleza sifa za urais. Mambo yanayoweza kumkosesha sifa mtu za kugombea urais ni kukutwa na hatia kwenye makosa ya jinai ya ukwepaji kodi, rushwa na kukosa uaminifu. Hakuna mahali shitaka la uhaini limetajwa.
Litagonga mwamba vibaya mnoKwa hiyo na hili nalo litagonga mwamba
Wamejichanganya tenaLitagonga mwamba vibaya mno
ok.🐒Kama atakutwa na hatia ya uhaini na kupewa msamaha wa Rais atakuwa na sifa za kugombea udiwani, ubunge, urais na cheo kingine chochote. Kama lengo ni kumzuia kugombea urais tumnyonge au tumwache aozee jela.
Nimesoma Katiba ya JMT hasa ibara ya 39 inayoeleza sifa za urais. Mambo yanayoweza kumkosesha sifa mtu za kugombea urais ni kukutwa na hatia kwenye makosa ya jinai ya ukwepaji kodi, rushwa na kukosa uaminifu. Hakuna mahali shitaka la uhaini limetajwa.
Dunia itajua tuMa genius wa Mbogamboga walidhani wanamaliza kazi kumbe hamna kitu.
Kwa akili ndogo walizo nazo wanaweza kwenda kubadili Katiba, hasa kwa kuwa bunge la mchongo ni lao