Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu tuambie basi jamani.....uligegeda/gegedwa siku ya ngapi baada ya mtongozano...mi namaliza mwaka sasa kuna manzi alinikubalia mtongozo ila mambo ananipa kalenda
lazima umzungushe kidogo.........
kugegedwa siku hiyo hiyo haijakaa poa sana
Kikukweli mimi unipa sikuhiyohiyo ujue nimekuacha
Hata miaka miwili, kwani anakimbilia wapi?
Hakuna kipya ni mwendo wa kusubiri, mtu hawezi anachapa lapa.
kitu hadi ndoa
Hapohapo hata kabla hajamaliza kuapproach
hivi kwanini vijana wa siku hizi mko hivyo
yaani kazi yenu kubwa ni kugegeda /kugegedeana
kwani ukikaa bila kugegeda utaishi mpaka ufanyehivyo?
Kwanini unataka mwili ukutawale na wewe usiutawale huo mwili
kwanini mnaendekeza ayo makitu yasiyo na maana kabisa
kwanini usikae ukasubiri mpaka ufunge ndoa ndipo ugegede
kwanini unakuwa mtu wa tamaa kiasi hicho
subirianeni mkaoane kisha mkadedeane huko honeymoon
mnagegedana kwanza kama tamu ndio mnatongozana.
Mi na uzee huu bado Nawaogopa wanaume nasogeza kalenda ile mbaya.
Kuna ULazima gani Wa kusubiri mpaka ndoa?au maigizo tu?
Hapa shake well before use
nyie ndo wale wale ngoja nikutazame tu hapa
Watu mnao jifanya kuongea kwa uchungu ndio wagawa K maarufu.
Binadamu tuna asili ya unafiki.
Tatizo linakua nn?
No offence but hayo Maigizo yanawasaidia nn?