Kikeke akaribishwa kuwekeza Uvinza kwa Kafulila

Kikeke akaribishwa kuwekeza Uvinza kwa Kafulila

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,128
Reaction score
1,896
Naunga mkono hoja za wengi hii Crown Redio iko mbele sana,

Huyu Mtangazaji wa zamani wa BBC Bw Salim Kikeke anajua mambo mengi hasa ya kidunia hivyo ukienda kwenye interview kuwa makini na elewa vizuri unachokieleza.

Ona hapa alivyokutana uso kwa uso na Mkurugenzi wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila mjadala umekuwa moto fire.

Sikiliza mpaka mwisho mjadala huu kuhusu fursa za kuwekeza Kwa sharti la PPP hapa nchini.

Vijana changamkeni ajira ni hizi

 
Waha si watanzania?!![emoji44][emoji44]

Wasukuma si watanzania?!![emoji44][emoji44]

Baba yake ndg.Kafulila ni Muha aliyetokea USUKUMANI...

Upumbavu ni janga
Hahahahaha si kuna mtu kasema jamaa ni mrundi, ndio maana ana akili hao uliowataja sio warundi ni watanzania...

Watanzania wanajulikana kwa kulalamika
 
Back
Top Bottom