Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Wewe jamaa Kila siku hoja yako ni hii hii?Kafulila sio Raia,
Mimi nipewe hii KUWASA naona wazingua sana sijajua natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani.
Uwezo anao ila uraia Kafulila mrundiWewe jamaa Kila siku hoja yako ni hii hii?
Sasa kama sio raia mbona unataka KUWASA?
Lete kielelezo Cha urundi wakeUwezo anao ila uraia Kafulila mrundi
Anaitwa mtemi Nkunda. Kwa Tanzania mtemi Nkunda ni toka Mkoa gani?Lete kielelezo Cha urundi wake
Hilo jina kapewa na Watanzania au na warundi?Anaitwa mtemi Nkunda. Kwa Tanzania mtemi Nkunda ni toka Mkoa gani?
Huyo brother ana akili nyingi mno....Kafulila anakitu Cha ziada sijui kama CCM wanajua hili
Huna akili....Uwezo anao ila uraia Kafulila mrundi
Baguzi hiloLete kielelezo Cha urundi wake
Huyu Kila post inayomuhusu Kafulila lazima alete hoja yake hiyo hiyo ambayo ni unproven.Baguzi hilo
Hahahahaha, ndio maana ana akili ,maana akili za watanzania zinajulikanaUwezo anao ila uraia Kafulila mrundi
Ajenda yetu ni ustawi wa Tanzania na watu wake...Huyu Kila post inayomuhusu Kafulila lazima alete hoja yake hiyo hiyo ambayo ni unproven.
Waha si watanzania?!![emoji44][emoji44]Hahahahaha, ndio maana ana akili ,maana akili za watanzania zinajulikana
Hahahahaha si kuna mtu kasema jamaa ni mrundi, ndio maana ana akili hao uliowataja sio warundi ni watanzania...Waha si watanzania?!![emoji44][emoji44]
Wasukuma si watanzania?!![emoji44][emoji44]
Baba yake ndg.Kafulila ni Muha aliyetokea USUKUMANI...
Upumbavu ni janga
Unamaanisha Watanzania hatuna akili?Hahahahaha si kuna mtu kasema jamaa ni mrundi, ndio maana ana akili hao uliowataja sio warundi ni watanzania...
Watanzania wanajulikana kwa kulalamika
Watanzania wanaolalamika idadi yao ni milioni ngapi ?!!Hahahahaha si kuna mtu kasema jamaa ni mrundi, ndio maana ana akili hao uliowataja sio warundi ni watanzania...
Watanzania wanajulikana kwa kulalamika
Akili si "mbari"...Unamaanisha Watanzania hatuna akili?