Kiki inazidi kukubali: Harmorapa kwenye 'front page' ya Nipashe

Kiki inazidi kukubali: Harmorapa kwenye 'front page' ya Nipashe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaaa amepata kiki kirahis rahi. Yaani kwa muda mfup kawa star.
kamzidi mpk orijino wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nampenda sana huyu hamorapa
 
le super star harmorapa kiboko ya mabishoo nimeona sehemu youtube mayonnaise ameanza kummind eti kwanini anatumia jina kama lake!
 
Vichwa vya wengi ukianza kutamka jina Harmo....Wengi hufikiria utamalizia ....rapa.
Ukimtaja Harmonize ni kama kapoteza mvuto hivi, majority don't care.
 
Back
Top Bottom