KIKI KUBUMA : Musiba sasa naona anajidhalilisha ,Hebu wakuu angalieni hapa

KIKI KUBUMA : Musiba sasa naona anajidhalilisha ,Hebu wakuu angalieni hapa

Mi najaribu kumuwazia mke na watoto wake,
Maana mke na watoto huamini baba yao ndo kidume,sasa kidume kinapojikomba na kukatika kwa ajili nyingine sijui kingine ni nini kwa wanaodhani hakuna mwingine kivingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara zote sheria inamruhusu mtu yeyote kufanya jambo lolote pasipo kuvunja sheria ya nchi.
musiba yupo sahihi kabisa.
ila pana watu humu wametoa maoni yao katika namna ya kuvunja sheria za nchi.
musiba alichofanya hakutaka kukufuraisheni, ila ametenda katika namna ya kufurahisha nafsi yake!
na tafsiri ya maana mara zote huishia kwa alotamka mhusika(musiba) ila kila mmoja anaweza kutafsiri kwa namna alivyochakata maudhui husika.
tusipende kukwaza watu wengine kwa sababu binafsi.
 
Ni lini utakubali kwamba ulichelewa kujipendekeza ,na ukweli kuwa wamekuwahi ,kwanini unatumia njia walioitumia wale wale kwa njia inayofahamika ,ukitegemea the same.kaka kufanikiwa huja na kufanya mambo kikweli jielimishe vizuri fanya siasa safi utaonekana tu ,lakini ni wazi hata Mh Kama anataka akuteue anaona aibu ,hata angekusifia basi mahali,umebaki kuwa kituko maana hii nini hata mtoto wa la pili atasema ,MUSIBA SIO KWAMBA ANAMPENDA RAISI ,BALI ANADHANI RAISI HUCHAGUA WATU WANAOMSIFIA
duh, njaa mbaya sana
 
Msiba tatizo akili zake jau jau
 
Chz karogwa tena

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
SHIKAMOO ZITTO KABWE!!!
mwenzako hata kama hawamsifii hadharani wamempa harrier na kiji jarida uchwara kinachokula matangazo ya milioni 100 za ATCL, kikwete alilimlipia mahari leo anamkandia kikwete vibaya mno, hapa majuzi jokate alivyokuwa amechaguliwa uvccm huyo jamaa alikuwa anampinga kila siku leo anajifanya anamshangilia,subiri utawala huu uondoke utasikia atakavyobadili gear angani
kabwabwaja kuhusu membe, kufika mahakamani anaomba apewe muda wa kujiandaa kujibu mashataka..IDIOT kabisa,imbecile,nicompoop.
 
Back
Top Bottom