Handsome man
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 880
- 956
Acha mambo ya ajabu mkuu, kwani clouds walitangaza wanataka million tu laki hawazitakSiku ile clouds wanachangisha kuhusu watoto wenye matatizo ya moyo kaja mbiombio kumbe ana laki moja wenzie wanatoa mamilion
Milioni 4 watoto 2 babawe ulitoa Tsh ngap?
Wanaume wa mikoani huwa mna roho za chuki mno
Sasa clouds nao walichukuaje mia kwa mshkaji!??Toka alipochangia laki moja tu siku ile clouds kwenye kampeni ya magonjwa ya moyo ndio nilipoamini kumbe jamaa ni wa kawaida tu.