Kiki na umaarufu wa Hamorapa unakufa kifo cha mende!

Kiki na umaarufu wa Hamorapa unakufa kifo cha mende!

HE IS A STRONG WOMAN ATARUDI NA KIKI KWA PIKIPIKI
 
mashabiki wa kiba walikuwa wanamtegemea huyu kijana kuleta upinzani kwa wcb....poor vibakulis😉😉😉😉😉😉
 
Toka alipochangia laki moja tu siku ile clouds kwenye kampeni ya magonjwa ya moyo ndio nilipoamini kumbe jamaa ni wa kawaida tu.
 
Toka alipochangia laki moja tu siku ile clouds kwenye kampeni ya magonjwa ya moyo ndio nilipoamini kumbe jamaa ni wa kawaida tu.
Sasa clouds nao walichukuaje mia kwa mshkaji!??
 
Watu tulikwisha sahau unatukumbusha tena
 
Back
Top Bottom