Wakati si milele.... Wakati ukuta....Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.
Mkuu wewe si hadi umemfungulia uzi kabisa!!!!Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.
Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.
kama wewe ni mwanaume usitumie tena hiyo combination... i mean wanawake ndio hutumia ....... cha.sligan kake cha I DON’T CARE
tayari anazungumzwa sana mbona.... I mean kupitia huu uzi wako mwenyewe!!Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.
Tangu siku Ruge ametangazwa kuwa ametangulia mbele ya haki..Jide alivyomstaarabu alifuta picha na post zote za insta. Na comment alifunga. Km angekuwa anataka Kiki asingefanya hivyo.
Hiyo post unayoisema,kapost juzi na ndo siku hiyo akaachia comments na kuahidi kuwafungulia wale wote aliowahi kuwablock. Na akaruhusu watukane kadri wawezavyo. Na wale wakupongeza wapongeze....! Leo tena kafunga comments...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww hapa umepata wapi muda wa kutype..km huna muda!??Doh hivi nyie huwa mnawezaja na kutoa wapi muda wa kumfwatilia mtu kiasi hichi!!...
Nimenyanyua mikono
Sent using Unknown device
Ficha ujinga basi mkuu!! Hivi kuona mtu km amefuta post zake inahitaji dakika ngapi au kujua km hakuna sehemu ya comments amefunga..!! Maana unaongea km vile ni jambo kubwa sana la kufanyia utafiti...Sio ku type naulizia hizo data hizo.. Daily routine yote unayo.. We kiboko
Sent using Unknown device
Anakuhusu? fanya yako au kazi yako ni kuchunguza maisha ya watu au na wewe ni mmoja waoBaada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.