Kiki ya dada Lady jay dee yafeli

Kiki ya dada Lady jay dee yafeli

Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.
Wakati si milele.... Wakati ukuta....

Jr[emoji769]
 
Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.
Mkuu wewe si hadi umemfungulia uzi kabisa!!!!
 
Ok
Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.

Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
 
Tangu siku Ruge ametangazwa kuwa ametangulia mbele ya haki..Jide alivyomstaarabu alifuta picha na post zote za insta. Na comment alifunga. Km angekuwa anataka Kiki asingefanya hivyo.

Hiyo post unayoisema,kapost juzi na ndo siku hiyo akaachia comments na kuahidi kuwafungulia wale wote aliowahi kuwablock. Na akaruhusu watukane kadri wawezavyo. Na wale wakupongeza wapongeze....! Leo tena kafunga comments...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.
tayari anazungumzwa sana mbona.... I mean kupitia huu uzi wako mwenyewe!!
 
Doh hivi nyie huwa mnawezaja na kutoa wapi muda wa kumfwatilia mtu kiasi hichi!!...

Nimenyanyua mikono
Tangu siku Ruge ametangazwa kuwa ametangulia mbele ya haki..Jide alivyomstaarabu alifuta picha na post zote za insta. Na comment alifunga. Km angekuwa anataka Kiki asingefanya hivyo.

Hiyo post unayoisema,kapost juzi na ndo siku hiyo akaachia comments na kuahidi kuwafungulia wale wote aliowahi kuwablock. Na akaruhusu watukane kadri wawezavyo. Na wale wakupongeza wapongeze....! Leo tena kafunga comments...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Unknown device
 
Baada ya kifo cha Ruge, Jide alijua kuwa atazungumziwa sana kwenye media akaja na ka sligan kake cha I DON’T CARE lakini naona imekuwa kinyume amna mtu yeyote aliyemzungzia zaidi ya wana JF kufufua makaburi ya nyuzi zake. Alitarajia baadhi ya watu wamsihi ahudhurie msiba lakini imekuwa kimya.
Anakuhusu? fanya yako au kazi yako ni kuchunguza maisha ya watu au na wewe ni mmoja wao
 
Back
Top Bottom