Kiki ya dada Lady jay dee yafeli

Moja ya mambo ya kipumbavu na kuzidi kua masikini ni pamoja na kuacha bidii ya kazi na kujitafutia kukua kiuchumi kisha unakaa na kufatilia maisha ya mtu ambaye hana faida kwako wala kwa wasomaji wa hapa jf

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
B Dozen niaje?..
 
Hapa tunafanya nini

Dah kweli akili ni nywele
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nipite kushoto, maisha ya mtu hayanihusu mie.
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…