Kwa sababu Haji kasema, basi aungwe mkono tu?
Hivi Kwa nini hawezi kuongelea issue za Simba bila kuingiza Yanga?
Kwa nini asihamasishe wana Simba waende kuipa support timu yao Jumapili akaishia hapo. Mipango ya Yanga inamhusu nini?
Manara ameanza vizuri na mambo ya kuzomeana ni bora yafike mwisho kwa maendeleo ya mpira wetu. Mkemi anatuharibia image ya team yetu, tutaonekana Yanga wote Mazuzu.
Manara ameanza vizuri na mambo ya kuzomeana ni bora yafike mwisho kwa maendeleo ya mpira wetu. Mkemi anatuharibia image ya team yetu, tutaonekana Yanga wote Mazuzu.
Mkuu, usingie chaka kwa ujanja wa Haji. Ni adui wa kudumu wa Yanga. Walikuwa wapi muda wote wakiwa mchangani?
Hii Ni sawa na kuwaambia Liverpool waishangilie Man U. Haiwezekani na mpira utapoteza radha.