Kiki za kijinga zimemgharimu GB 64

Kiki za kijinga zimemgharimu GB 64

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mimi siupendi uongozi wa Mangungu hata kidogo, cmpendi pia Try Again wala Ceo Iman Kajula.

In a nutshell, wameshindwa kuleta furaha Simba na hawastahili kuendelea kutuongoza kabisa kabisa.

Lakini hata kama siwapendi je ni sahihi kuhamasisha ama kuchochea mashabiki kwamba mpira ukiisha tuwasake uwanjani na kuwashughulikia?

Je kama Mangungu angedhurika au Try again au Iman Kajula kwa maneno ya GB64 nani angewajibika?

Mnaomtetea GB64 hamuoni kuwa ametenda kosa la jinai?

Kufanya uchochezi hamjui ni kosa la jinai?

Je mashabiki na wanachama hamjui njia sahihi za kuuondoa uongozi?

Zipo njia nyingi za kuukataa uongozi wa Mangungu, try again na bodi nzima lakini sio njia hii ya kudhalilisha viongozi.

GB64 ni nani? Ni mtoto wa juzi tu ametafuta kiki amelala mahabusu, mbona sisi simba lia lia tumeona uongozi haupo serious tumekaa kimya tunatafuta njia nyingine ya halali kabisa kuuondoa uongozi, sio mapinduzi wala nn, hekima na busara zitatumika kuwashurutisha waachie timu.

Mnaompenda GB64 nendeni mkakiri kosa kwa uongozi wa simba ili mambo yaishe na sio kupiga kelele bila hoja za msingi, suala la GB64 ni la kisheria na kiutawala, mkilalamika kwenye mitandao ya kijamii haiwasaidii.

Tujifunze kukosoa viongozi wetu kwa staha na adabu.
 
Kwa mitazamo hii hakuna nchi Africa ingekuwa na uhuru, waache watu wenye uthubutu wathubutu, kama wewe ni wa mkia makalioni basi kuwa mstaarabu na Kaa kimya.
 
Mimi siupendi uongozi wa Mangungu hata kidogo, cmpendi pia Try Again wala Ceo Iman Kajula.

In a nutshell, wameshindwa kuleta furaha Simba na hawastahili kuendelea kutuongoza kabisa kabisa.

Lakini hata kama siwapendi je ni sahihi kuhamasisha ama kuchochea mashabiki kwamba mpira ukiisha tuwasake uwanjani na kuwashughulikia?

Je kama Mangungu angedhurika au Try again au Iman Kajula kwa maneno ya GB64 nani angewajibika?

Mnaomtetea GB64 hamuoni kuwa ametenda kosa la jinai?

Kufanya uchochezi hamjui ni kosa la jinai?

Je mashabiki na wanachama hamjui njia sahihi za kuuondoa uongozi?

Zipo njia nyingi za kuukataa uongozi wa Mangungu, try again na bodi nzima lakini sio njia hii ya kudhalilisha viongozi.

GB64 ni nani? Ni mtoto wa juzi tu ametafuta kiki amelala mahabusu, mbona sisi simba lia lia tumeona uongozi haupo serious tumekaa kimya tunatafuta njia nyingine ya halali kabisa kuuondoa uongozi, sio mapinduzi wala nn, hekima na busara zitatumika kuwashurutisha waachie timu.

Mnaompenda GB64 nendeni mkakiri kosa kwa uongozi wa simba ili mambo yaishe na sio kupiga kelele bila hoja za msingi, suala la GB64 ni la kisheria na kiutawala, mkilalamika kwenye mitandao ya kijamii haiwasaidii.

Tujifunze kukosoa viongozi wetu kwa staha na adabu.
Duh
 
Yani unalala ndani kwa sababu ya mpira? Us##ge mtupu
 
na muulize huyo gb 64 ashawahi kuchangia simba japo laki moja?
 
Tulishakataa wewe siyo shabiki ni mbangaizaji.
 
Wewe mbona umekuja kusema mtandaoni unaonaje hayo ungeenda kuyasema Kwa mwenyewe Bb64?
 
Mizengo: wapigwe tu.
Kheri James=mwenyekiti wa uvcc kigoma; polisi wasiingilie tukiwapoteza
 
We ni mpuuzi na hao viongozi wako.
Huwezi kumweka ndani mtu kwa sababu za kijinga namna hiyo.
Hilo ni soka na huwa kuna mameno mengi sana wakati mtu kaumia ama akiwa ma furaha sana
 
Back
Top Bottom