Sijaju hiyo website,ila ktk Website yao wenye huo ukumbi walionyesha ticket sold out waka indicate na capaity iliyokuwa occupied 3500,sema sukuscreen shoot.
Sasa ndugu yangu ukumbi anafanya J Cole na Tyaga unasema duniani haujulikani kweli,maanake unachomaanisha hata Tyga na JCole hawajulikani.
Watu hamjui ushajiuliza kwanini wa Nigeria wanajaza ukimbi wa O2 only in UK lkn si nchi nyingine kama US.Sijawahi kusikia US sehemu kama Baclays Center,lkn kila siku ni UK O2 ,fanya research yako vizuri utajua kwa nini,wanashindwa sehemu nyingine.