Kwani hapa ambapo hakuna ukoloni mbona lawama ni zile zile tu kmaa zile za ukoloni katika kushika madaraka ?Baadaye mtataka ukoloni na hatimaye uchifu urudi! Vijana bunini vitu vipya vizuri, msitamani kurudi kwa mababu zenu, someni historia chukueni machache mazuri!
Tatizo watu wengi hasa wazee walio kwenye tawala wana tamaa, wanaona ile hali inawasaidia wao kubaki madarakani. Hawako tayari kushindana kwenye demokrasia ya sasa! Boresheni msirudi nyuma ambako tuliimba zidumu fikra za mwenyekiti.Kwani hapa ambapo hakuna ukoloni mbona lawama ni zile zile tu kmaa zile za ukoloni katika kushika madaraka ?
Unadhani nini tatizo ?
Je hilo la kuwa wazee wa sasa wanatamaa na hawako tayari kuachia madaraka je jambo hili wakoloni hawakuwa nalo ?Tatizo watu wengi hasa wazee walio kwenye tawala wana tamaa, wanaona ile hali inawasaidia wao kubaki madarakani. Hawako tayari kushindana kwenye demokrasia ya sasa! Boresheni msirudi nyuma ambako tuliimba zidumu fikra za mwenyekiti.
Itakapofikia hatua ya chama kuwa kimoja hapo sasa hakutakuwa na mpinzani wa kunyooshewa vidole ili wewe mnyoosha vidole uonekane unajali maslahi ya chama na taifa.
kwani mkuu ikiwa vyama ni vingi na kiongozi hataki mawazo tofauti na anatumia dola kuzuia mawazo hayo unadhani huo mfumo wa vyama vingi utasaidia kutufikisha tunapopataka ?Huko tumetoka juzi tu hatuwezi kurudi tena bila kulazimishwa. Mungu wetu alipo tuumba alituwezesha na kutujenga tuwe na mawazo tofauti kama hiyo ni kweli si vizuri kutulazimisha tuwe na chama kimoja. The iron rule of oligarchy inatueleza ndani ya chama kutaibuka kundi la watu ambao watakinasa chama ikimaanisha wenye mawazo tofauti watapigwa kitasa. Vyama vingi ni njia mojawapo ya nchi kupumuakisiasa. Hivyo mkuu unachotaka ni kuturudisha nyuma na kuleta mfarakano.
Kuna kundi hapa nchini bado hawaja amini kuwa tunatakiwa kuwa na utawala na katiba inayoruhusu vyama vingi. Katiba yetu na watawala bado wanamentality ya chama kimoja.
Kama siyo "uKondoo wa Nyerere" nguvu ya umma inaweza kutumika kuinyoosha serikali, kwani katiba inatambua uwepo wa vyama vingi.kwani mkuu ikiwa vyama ni vingi na kiongozi hataki mawazo tofauti na anatumia dola kuzuia mawazo hayo unadhani huo mfumo wa vyama vingi utasaidia kutufikisha tunapopataka ?
Mbona mungu wenu amekosa amani usingizi hana sababu ya wapinzaniNakubaliana na wewe kwa sasa hakuna upinzani wa kweli bali kuna wababaishaji tu.
Bado wenye ukondoo wa Nyerere ni wengi sana, ukichanganya hilo na uchama dola utapata jibu.nguvu ya ummah kwa nini ilishindwa kuinyoosha ukondoo wa nyerere tokea hapo mwanzo ?