Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Peter Msigwa, Zito, Halima Mdee nk wanaona aibu vibaya, maana kilichotokea 29 imekuwa kama game changer, na wao ni kama wamepishana na gari la mshahara.Sema MO29; imefutilia mbali takataka nyingi,,Leo hii Catherine Ruge,Susana Kiwanga,,Stevin wasirra ,John Mrema wanaogopa kutoa kichwaa
Kimezikwa pamoja na kile cha ushindi 98%Hamjambo!
Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu.
Natanguliza shukrani